M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,767 Reaction score 54,912 Mar 9, 2024 #21 fimboyaasali said: Mifano ya huruma: 1.mke katumia fedha kinyume na ulivyomuagiza 2.mume kamlala house girl 3.Mke kachoka kwa kazi,wewe bado unataka akachote maji km 10 Click to expand... Hiyo ndiyo huruma?
fimboyaasali said: Mifano ya huruma: 1.mke katumia fedha kinyume na ulivyomuagiza 2.mume kamlala house girl 3.Mke kachoka kwa kazi,wewe bado unataka akachote maji km 10 Click to expand... Hiyo ndiyo huruma?
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,270 Mar 9, 2024 Thread starter #22 Mzee wa kupambania said: Hiyo ndiyo huruma? Click to expand... yes
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,767 Reaction score 54,912 Mar 9, 2024 #23 fimboyaasali said: yes Click to expand... Upendo
Suhendra JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 1,939 Reaction score 3,841 Mar 9, 2024 #24 fimboyaasali said: huruma unaweza kujifunza kama huna,japo siamini kama kuna mtu hana huruma kabisa Click to expand... Hakuna kitu kama hicho, maisha ya ndoa ni waishi jinsi ulivyo jengwa wale wote wanao jifunza baadae anarudi katika uhalisia wake Ndio maana sisi twaamini mume au mke anaanza kuandaliwa Mara tu anapozaliwa. Samaki hukunjwa angali mbichi.
fimboyaasali said: huruma unaweza kujifunza kama huna,japo siamini kama kuna mtu hana huruma kabisa Click to expand... Hakuna kitu kama hicho, maisha ya ndoa ni waishi jinsi ulivyo jengwa wale wote wanao jifunza baadae anarudi katika uhalisia wake Ndio maana sisi twaamini mume au mke anaanza kuandaliwa Mara tu anapozaliwa. Samaki hukunjwa angali mbichi.
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 17,188 Reaction score 47,965 Mar 9, 2024 #25 Huwezi kumhurumia usiyempenda, take this to your notebook.
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,420 Reaction score 92,255 Mar 10, 2024 #26 fimboyaasali said: huruma unaweza kujifunza kama huna,japo siamini kama kuna mtu hana huruma kabisa Click to expand... Ni kweli
fimboyaasali said: huruma unaweza kujifunza kama huna,japo siamini kama kuna mtu hana huruma kabisa Click to expand... Ni kweli
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,420 Reaction score 92,255 Mar 10, 2024 #27 binti kiziwi said: Huwezi kumhurumia usiyempenda, take this to your notebook. Click to expand... 😍