Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,510 Aug 20, 2009 #21 Yale Yale tunayo ongeleaga hapa kila siku. Wanawake kwa kukimbilia kuolewa kha! angalia sasa ametumbukia kwenye tanuli mwambie aombe talaka na ajifunze si kila kitu king'aacho ni dhahabu.
Yale Yale tunayo ongeleaga hapa kila siku. Wanawake kwa kukimbilia kuolewa kha! angalia sasa ametumbukia kwenye tanuli mwambie aombe talaka na ajifunze si kila kitu king'aacho ni dhahabu.
Caroline Danzi JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 3,714 Reaction score 1,269 Aug 20, 2009 #22 mimba siyo rahisi, hiyo shughuli inahitaji utulivu wa ajabu siyo mtu kubehave kama hivyo ufikirie eti utampa mtu mimba.
mimba siyo rahisi, hiyo shughuli inahitaji utulivu wa ajabu siyo mtu kubehave kama hivyo ufikirie eti utampa mtu mimba.
Caroline Danzi JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 3,714 Reaction score 1,269 Aug 20, 2009 #23 Fidel du! unachukia kuoa? ushindwe lazima uoe wewe.
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,990 Reaction score 3,551 Aug 21, 2009 #24 libidozy said: Nina wasiwasi huyo jamaa atakuwa mmachame tuu!te te teh Click to expand... jamaa ni hatari sana amewezaje kumshutumu hadi kakayake(mme wa shemeji yake)
libidozy said: Nina wasiwasi huyo jamaa atakuwa mmachame tuu!te te teh Click to expand... jamaa ni hatari sana amewezaje kumshutumu hadi kakayake(mme wa shemeji yake)