Kubwa ni ngapi mkuu, na mahari ndogo ni ngapi?Ipo philosophy moja kuna rafiki yangu humu jf aliwahi kuniambia kwamba ukienda kutoa posa halafu utajiwe kutoa mahari kubwa hiyo huwa ni mbinu ya kukufukuza kama endapo familia haijakupenda
Sasa mama yake hakuolewa, unategemea ataoa?Katika suala la mahusiano JF inaharibu vijana aisee......Yaan hapana jaman...daaa
Katika suala la mahusiano JF inaharibu vijana aisee......Yaan hapana jaman...daaa
Ndio yule aliye mpiga mke wake risasi ya kichwa na yeye akajiua?Kuna jamaa alioa pisi kali ya kisukuma kwa ng'ombe 18 iyo yako sio hela kabisa
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Nilipangiwa hiyo, lakini hapo kabla niliongea na bidada kuwa 800 and 1.3 maximum aliongea na wazazi wake lakini kipindi lilipofika ikatajwa hiyo yako na mpaka sasa tulishasahu nilitembeza 800k na ngoma ikalala mbele. Acha uoga!. Njoo geita uchukue.Nilikwenda kuchumbia mahali fulani...majibu yakatoka nikaambiwa nipeleke milioni mbili..,nimejitafakari aisee ni hapana sijajua wazazi wa Binti watanifikiria vipi ...ila watanisamehe tu.
Kwanza naenda kumnunua mtu...pesa inatoka hapo,pili natakiwa niwe namhudumia kwa kila kitu nikiwa naye nayo ni pesa hio,tatu Mwanamke atakuja kunibana aisee nishazoea kulala pekeangu,nne nahofia tukiachana nitapoteza hata hivi vichache nilivonavyo...mwisho kabisa Mwanamke nimemuona mtu wa lawamalawama sana...kwanza ni ngenye ndio zilisababisha harakaharaka nichumbie
Binafsi nikifikisha miaka 40 labda ndio nifikirie kuoa kwa saivi najitafuta kwanza nahitaji niimarike kiuchumi
Mikakati ninayokuja nayo
1.naacha pombe,sigara
2.nakuwa mtu wa ibada na kusoma vitabu.
3.nakuwa mchumi na mbahili lakini nataka nifanye kazi kwa bidii sana
4.naweka akiba
5.nakuwa mtu wa kujipenda na kupendeza kuvaa vizuri
6.mbinafsi.
Note:ndoa ni muhimu lakini sio lazima
Huyu Ana shida nyingi hata akibadili mtu Je yupo tayari Kwa majukumu?! Ndoa n jukumu mm binafsi naona hayupo tiari Kwa hiyo bora aendeleee na mambo yake tu, Kwanza kuoa awaachie waoaji tu[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo piga chini Mara Moja utafute mwanamke mwingine uoe.Kwani lazima uoe huyo tu
Afu we Ni kazurii sanaHuyu Ana shida nyingi hata akibadili mtu Je yupo tayari Kwa majukumu?! Ndoa n jukumu mm binafsi naona hayupo tiari Kwa hiyo bora aendeleee na mambo yake tu, Kwanza kuoa awaachie waoaji tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Akili Za King'ota Na MbayuwayuZa kuambiwa..............!
Kila la kheriii
Ni kweli ulichosema ndugu...nataka kuwaiga watu wakati kukaa na demu tu siweziHuyu Ana shida nyingi hata akibadili mtu Je yupo tayari Kwa majukumu?! Ndoa n jukumu mm binafsi naona hayupo tiari Kwa hiyo bora aendeleee na mambo yake tu, Kwanza kuoa awaachie waoaji tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu Wanaolewa Usiku/Mchana Sema Hizi Propaganda Zimeshika HatamSasa msipooa na kila mtu asipooa watoto wenu wa kike wataolewa na nani?
Angalieni madhara ya mlichokianzisha
Shauri yao, wenzao China kuna baadhi ya maeneo wanatafuta hata hao wanawake wa kuoaSasa msipooa na kila mtu asipooa watoto wenu wa kike wataolewa na nani?
Angalieni madhara ya mlichokianzisha
Ni kweli kabisa mzee.je ni lin utakuwa tayar kuoa.Kuoa na kupata watoto kama hujajipanga ni chanzo cha kutoendelea
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji419][emoji375][emoji375][emoji419][emoji375][emoji375][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]nakaziaKataa Ndoa
Ndoa Ni Utapeli
Ndoa Ni Wizi
Kataa Ndoa