Hahhahahaha, ebu shika adab yako kwanza mdengereko, usijifanye mjuaji kuhusu ndoa eboo.
Muambie mwenyewe yote hayo, ili ajue aende kushoto ama kulia ili hali usimpoteze muda mwana wa watu na kumuaribu.
Jaribu kumuambia siku moja asubiri miaka 6, uone kitakachotokea, utakuja na stupid case siku ingine hapa JF, ooh kaolewa na mwingine, ooh madem sio wa kuwamini, ooh kuna mtu katia fitna, ooh alitaka kukuchezea, kumbe umejichezea na umejiroga mwenyewe.
KUSUHUZA MOYO
Yaonesha unataka kujiuza na pesa kujilipia, chezea wanawake wanaopenda kusuhuza mioyo ya wanaume ili waolewe wewe.
MAVAZI
Vazi la kitamadunu la kitanzania ni kibwaya, maziwa nje, ------ nje, no problem for them.
Au unataka wale wanaovaa burka na kujifungia ndani mchana, ila usiku ukifika wanavua na kuvaa vipensi kwenda kujiuza sinza?
You dont know anything about life or marrige. Jifunze life kwanza