manditoo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 257
- 128
Natamani sana binadamu wangekuwa wakisoma vitu kama hivi viwaguse nakubadilika nachukia sana kuona mtu mzima age30....anafanya ujinga. Nimekukubali mkuuNdoa umpate mtu sahihi, i recommend urafiki wa muda mrefu.
Type: 1
Uhusiano wenu wa ndoa chimbuko lake liwe ni urafiki wa muda mrefu maana mapenzi ya kirafiki huwa hayachoshi you got a back for eachother, mpo free sana which means hamna unafiki kati yenu at all, pia ni rahisi kuelewana hata mkigombana. Mnaoana kwa upendo wa dhahiri baina yenu maana mpo tayari ku push over life pamoja. I think this makes one of the best marriages ever na ita guarantee upendo wa all time. Huu ndio mfumo wa uhusiano walioutumia wazee wetu ambao mpaka leo tunajiuliza mbona wao hawazinguani ila sie yanatushinda mapema!
Type: 2
Ndoa based on mapenzi ya kutamaniana tu ndio zinaumizaga mwishoni maana lazma mmoja atamchoka mwenzake. Ndoa nyingi za siku hizi ziko backed up na unafiki,ubinafsi ama maslahi ya mmoja wenu. Mtu anapretend mwema ili aolewe tu aonekane na mashoga zake kaolewa ila kumbe hana mapenzi ya dhati. Anatafuta unafuu wa maisha kwa kuwa mwanamume atamtunza tu baada ya ndoa na atawaoshea mashosti zake kuwa na designer outfits, simu, magari makali...in short show offs. Anakuja kustuka ndoa ni zaidi ya hayo anaanza shida ndani ya nyumba heshima 'F' mwishowe unakuta linaanza umalayaa huku lina pete kidoleni aargh. Hapo mtu alikuwa hana kitu kataftiwa kazi ndio kashapata nguvu na jeuri usiombee. Nyumba lazma iwe chungu.