Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,926 Aug 19, 2024 #21 Chaka la wakubwa kwamba!?🤔
think tank01 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 292 Reaction score 432 Aug 19, 2024 #22 GENTAMYCINE said: Kuwa makini tu kwa hii ID kwani hata hii nayo ukiingia Kichwa Kichwa ( katika 18 za Watu ) nayo itapigwa BAN kama ile. Click to expand... BAN iko njiani tena iko na kasi, hawezi jituliza.
GENTAMYCINE said: Kuwa makini tu kwa hii ID kwani hata hii nayo ukiingia Kichwa Kichwa ( katika 18 za Watu ) nayo itapigwa BAN kama ile. Click to expand... BAN iko njiani tena iko na kasi, hawezi jituliza.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,064 Reaction score 126,669 Aug 19, 2024 #23 think tank01 said: BAN iko njiani tena iko na kasi, hawezi jituliza. Click to expand... Wenye Akili tumeshamshtukia Kitambo sana. Kutwa wanaacha Kujadili Mada, wao wako Kumtukana tu GENTAMYCINE.
think tank01 said: BAN iko njiani tena iko na kasi, hawezi jituliza. Click to expand... Wenye Akili tumeshamshtukia Kitambo sana. Kutwa wanaacha Kujadili Mada, wao wako Kumtukana tu GENTAMYCINE.
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Aug 19, 2024 #24 Karibu sana...
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,850 Aug 19, 2024 #25 think tank01 said: BAN iko njiani tena iko na kasi, hawezi jituliza. Click to expand... Ni nani kwani🤣
think tank01 said: BAN iko njiani tena iko na kasi, hawezi jituliza. Click to expand... Ni nani kwani🤣
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,985 Reaction score 21,236 Aug 19, 2024 #26 Chaka la wakubwa said: Habari ndo mara yangu ya kwanza kutumia jf nimeikubali naamini hakuna utengano , Asanteeeeh Click to expand... Karibu mkuu katika ulimwengu wa matajiri na maafisa vipenyo,Kila mtu humu ni mtaalam na ana uwezo mkubwa kiakili hakuna kilaza! Na wewe unatakiwa uwe hivyo hivyo!
Chaka la wakubwa said: Habari ndo mara yangu ya kwanza kutumia jf nimeikubali naamini hakuna utengano , Asanteeeeh Click to expand... Karibu mkuu katika ulimwengu wa matajiri na maafisa vipenyo,Kila mtu humu ni mtaalam na ana uwezo mkubwa kiakili hakuna kilaza! Na wewe unatakiwa uwe hivyo hivyo!
Chaka la wakubwa Member Joined Aug 15, 2024 Posts 17 Reaction score 14 Aug 20, 2024 Thread starter #27 NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: Karibu mkuu katika ulimwengu wa matajiri na maafisa vipenyo,Kila mtu humu ni mtaalam na ana uwezo mkubwa kiakili hakuna kilaza! Na wewe unatakiwa uwe hivyo hivyo! Click to expand... 💯 sawa mtaalam , tajiri nimeelewa vp mlikua mkitegemea ujio wangu au maana huu upokeaji wa ajabu
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: Karibu mkuu katika ulimwengu wa matajiri na maafisa vipenyo,Kila mtu humu ni mtaalam na ana uwezo mkubwa kiakili hakuna kilaza! Na wewe unatakiwa uwe hivyo hivyo! Click to expand... 💯 sawa mtaalam , tajiri nimeelewa vp mlikua mkitegemea ujio wangu au maana huu upokeaji wa ajabu
Chaka la wakubwa Member Joined Aug 15, 2024 Posts 17 Reaction score 14 Aug 20, 2024 Thread starter #28 GENTAMYCINE said: Kuwa makini tu kwa hii ID kwani hata hii nayo ukiingia Kichwa Kichwa ( katika 18 za Watu ) nayo itapigwa BAN kama ile. Click to expand... Vp nibadili id au unamaana gani🙄
GENTAMYCINE said: Kuwa makini tu kwa hii ID kwani hata hii nayo ukiingia Kichwa Kichwa ( katika 18 za Watu ) nayo itapigwa BAN kama ile. Click to expand... Vp nibadili id au unamaana gani🙄
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,064 Reaction score 126,669 Aug 20, 2024 #29 Chaka la wakubwa said: Vp nibadili id au unamaana gani🙄 Click to expand... Kuwa tu makini kwani kuna wengine ukiwatishia tu Kujamba basi Wao huamua Kunya / Kuukweka kabisa sawa Mkuu?
Chaka la wakubwa said: Vp nibadili id au unamaana gani🙄 Click to expand... Kuwa tu makini kwani kuna wengine ukiwatishia tu Kujamba basi Wao huamua Kunya / Kuukweka kabisa sawa Mkuu?
Chaka la wakubwa Member Joined Aug 15, 2024 Posts 17 Reaction score 14 Aug 20, 2024 Thread starter #30 GENTAMYCINE said: Kuwa tu makini kwani kuna wengine ukiwatishia tu Kujamba basi Wao huamua Kunya / Kuukweka kabisa sawa Mkuu? Click to expand... Mbona kama unanitisha hvi vipi jina hli linaugomvi na wewe maana sjafanyakibaya mbna
GENTAMYCINE said: Kuwa tu makini kwani kuna wengine ukiwatishia tu Kujamba basi Wao huamua Kunya / Kuukweka kabisa sawa Mkuu? Click to expand... Mbona kama unanitisha hvi vipi jina hli linaugomvi na wewe maana sjafanyakibaya mbna
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,064 Reaction score 126,669 Aug 20, 2024 #31 Chaka la wakubwa said: Mbona kama unanitisha hvi vipi jina hli linaugomvi na wewe maana sjafanyakibaya mbna Click to expand... Biti muhimu kwa Wageni.
Chaka la wakubwa said: Mbona kama unanitisha hvi vipi jina hli linaugomvi na wewe maana sjafanyakibaya mbna Click to expand... Biti muhimu kwa Wageni.