Ndo CCM ilipofikia

lakini kama kabilisha siri ashitakiwe. maana kiapo chake kuwakataza kuvumisha siri za baraza
 
Watanzania hawajijui kiundani CCM ila siku wataijua CCM vizuri wanaweza kubeba silaha jadi tuna deni la taifa ambalo kwa kweli halikwepeki mpaka shahawa zetu zinadaiwa lakini wao familia zao zinaoshi paradiso.
Hivyo ccm iliyotengeneza hayo madeni , nyalandu hayupo umo? Lowassa? Sumaye, na ester braya je ? Si walikuwepo , sasa walipohamia chadema ndio wako kijito cha utakaso ? Huyo Lowassa hata baba wa taifa alisema hafai kuwa kiongozi , watu wakinyimwa uongozi tu , au maslahi.yao yakifinywa ndio, wanakimbilia chadema , kwani halijulikani hilo ? halafu porojo nyiingi , oh deni la taifa , oh nini na nani , hizo ni porojo za chadema , mtu mwenye nia safi kabisa ya kuijenga nchi yake , na si maslahi binafsi , basi uwepo wake uwe CCM .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…