Ndivyo mlivyo ndugu zetu

Ndio maana siongozani na mke wangu kwenda shopping!
Wakwangu ilifikia hatua nikifika sehemu hizo natafuta sehemu ya kukaa maana atazunguka weee huku pesa yenyewe kiduchu tu
 
Mmemaliza? Au bado mnatiririka? Bahati nzuri hatununui Malinda duka kama nyie, tena kwa taarifa yenu wauzaji wakiwaona nyie wanafurahi kweli maana mnaenda kusafisha na si kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…