Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,976 Dec 24, 2018 #21 Juuchini said: Sijaona sababu kwanini Magu awe noma? Anayoyafanya ni ya kawaida sema kwakuwa wamekufunga akili unashangilia msukule Click to expand... Anayofanya Magufuli walishindwa kufanya kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete...usimkasirikie, si vizuri hivyo.
Juuchini said: Sijaona sababu kwanini Magu awe noma? Anayoyafanya ni ya kawaida sema kwakuwa wamekufunga akili unashangilia msukule Click to expand... Anayofanya Magufuli walishindwa kufanya kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete...usimkasirikie, si vizuri hivyo.
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 6,547 Reaction score 4,965 Dec 25, 2018 #22 Lovery said: Wewe hauoni Bashite anavyocheza na akili ya mkulu.. ni kusifia tu Click to expand... Siyo huyo tu
Lovery said: Wewe hauoni Bashite anavyocheza na akili ya mkulu.. ni kusifia tu Click to expand... Siyo huyo tu