Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Mjinga kabisa huyo, yaani anasema utawala wa kikwete ni Bora kuliko huu? Hata maaskari hapo kituoni wamekushangaa kwanini hukumsulubisha kabisa.
Sawa mkuu umefanya sawa kumpiga mwenzio bora ungepinga kwa hoja tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi sana wewe maana haujitambui na hautambui kuwa kila mtu ana haki ya kuamini kile anachopenda ili mradi havunji sheria ya inchi.
Au ni sheria gani ya nchi inatutaka kukubaliana na kila anachokifanya Magufuli?
Watu wenye akili lazima tuwe na mtizamo tofauti ila wajinga huamini kila kitu bila kupima athari na faida lazima tutofautiane.
Unataka kila mtu aamini unachoamini wewe??? Hamna utawala unaoweza kuridhisha watu wote. Kila mtu na mtazamo wake ndugu.
Mie hamna utawala nitakuja kuuelewa kama wa mwalimu nyerere hata unichinje ila ni mtazamo wangu huo sitaki ukubaliane na mimi
Unajisifu kumpiga teja!!