Ndio Mzee! ndani ya lango

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264


Mheshimiwa vipi kuhusu bomba kutoa maji na maziwa..?

Mlininukuu vibaya hivyo haiwezekani..

Mheshimiwa vipi lakini si ulisema tutagawana vya kwako...

Kwa niaba ya jeshi la polisi mh zile haelcopter zetu vipi..
 
#wanafunzi kwenda kufanya practical mwezini#nimegundua kuwa kule mwezini kuna baridi sana+inasemekana kina vitisho vya kuwepo kambi ya osama#dunia ipo kasi sana.
 
Hongera Prof J. Toka enzi hizo Nigger J hadi ubunge. Hongera sana sasa uwatumikie wananchi.
 
Nasikia maccm yanaenda mahakamani kupinga ushindi wake.
 
Kutoka katika ule wimbo wake wa Ndiyo mzee
"wananchi mnanikubali, ndiyoo mzeeee....eehh...ndiyo mzeee...."

 
Hongera kijana, jaribio la kwanza na limetiki
 
Naamini utapeleka maendeleo mikumi.

Ishara ya wazalendo hiyo.....
 
Inshaallah... M/Mungu amuongoze awe mtumishi bora
 
Mziki wa prof na ubunge kipi kinalipa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…