ndio maana watu wanaua

Mbona mgongaji anafana na mpigaji simu?
Mchoraji kachemsha hapo aisee!!f lkn aidia nzuri sana!
 
Mbona mgongaji anafana na mpigaji simu?
Mchoraji kachemsha hapo aisee!!f lkn aidia nzuri sana!

Hajakosea kabisa,inasemekana waume wengi hufanana sura na wezi wa wake zao...hapo hata akibambikiwa mtoto ni ngumu kustukia!
 
mabinti wanavojua kutupanga hata huwezi kushtuka,
jamaa yetu mmoja aikuwa BCOM alidanganywa na akaamini kuwa demu wake ana kakake anampenda sana
hata chuoni alikuwa anakuja kumtembelea na kushinda nae na hata kumtoa out,Njemba kila
akipiga simu anaambiwa kaka yupo,akiumwa anaambiwa kaka yupo atanipeleka hospital...
kumbe sio kaka wala nini ni mgongaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…