kalupieni matangazo mrushwe live, chadema punguzeni ubashite bhana. muda wote mnawaza ujinga tu, wekeni mikakati ya kuingia ikulu 2030 na sio vinginevyo!!
jpm anapiga kazi ya ukweli sana, ingawa tunaona anazingua, mrithi wake atapiga kazi chini ya kiwango chake, ndipo atakumbukwa jpm na huo ndo muda wa kuchagua upinzani.
siasa sio kuja arithmetics kwa kuangalia kura za 2005, 2010 na 2015!!
pambaneni kuongeza wabunge, madiwani na wenyeviti wa vijiji na mitaa.
kama lengo lenu ni kushika dola anzeni kuwalipa wenyeviti wenu wa vijiji, mitaa au vitongoji hata 40,000 kila baada ya miezi mitatu.
ccm wamejipanga vzr sana, wamefanya marejebisho na wana uhakika wa kura 5,000,000 mwk 2020 kbla ya kampeini.
halafu chadema acheni ukanda, Mimi hadi 2011, nilikuwa chadema damudamu. nilipofika Udsm, nikapangiwa hostel ya mabibo na jamaa wa karutu na moshi, wakawa wanatamba sana kuwa wao ndiyo wakombozi wa nchi hii.
nikawa nahudhuria vikao pale landmark yaani pale ujinga uliosema ni kugawana vyeo tu. safu ya rais, mawaziri, marc, madc, maras na maded ilikamilika 2013!!
yaani nusu yao walikuwa chagadema, na misukule wachache.
may 20, 2014 nikachukua rasmi kadi ya ccm, chama dume, na mwaka huohuo serukali za mitaa ccm ikashinda na 2015 ikashinda kwa zali,
kama jk aliagiza vifaa vya PT vipya 2015, kumbe ngosha ataleta vifaa super vya tpdf vipya ili kuweka sawa mambo.
naipenda chadema, cuf, act na ccm.
naipenda zaidi Tanzania na rais wa jmt,
ova