simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,214
Rais wa jamhuri ya muungano Dr. john pombe magufuli anasema ktk uongozi hakutakuwa na raha. Huku akisisitiza ya kuwa viongozi wote atakaowateua ktk uongozi wake wasitegemee watakuja kupata raha au kuishi maisha ya kifalme. Bali wanatakiwa waelewe ya kuwa wao sio "special person" bali ni wapo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi.
Hili suala linajisibitisha baadhi ya viongozi kumuandikia barua waziri wa TAMISEMI, Mh George Simbachawene kwamba wanaomba kujiuzulu wakisema wameshindwa kuendana na kasi ya Magufuli. Huku Mh DR. John Pombe Magufuli akisisitiza kwamba mawaziri na viongozi nitakao wateua wasitegemee mishahara mikubwa,malupulupu,kufanya kazi wanavyotaka wao/kubweteka, bali wanakuja kuyaweka hatarini maisha yao maana watapamba na wala rushwa ambao wanauwezo mkubwa kifedha na ambao sheria wameishika mkononi.
NOTE;
Hii hali inaonesha kuwa Magufuli anataka kuwatumia zaidi wanajeshi akiamini ya kuwa hawatoogopa ktk kutoa maamuzi au kumuhofia mtu kutokana na hao wanajeshi wameshazoea shuruba na wanamsimamo ktk maamuzi. Hii hali imejidhiilisha hivi karibuni baada ya Magufuli kwenda Monduli kwenye kambi jeshi JWTZ, alipoenda kufunga mafunzo ya medani, akisisitiza anawahitaji wanajeshi ktk uongozi wake.. Hata alipokuwa monduli alitaka vijana wote wa JKT watakaomaliza mafunzo waajiriwe...
huyu mzee naona anawahitaji sana wanajeshi ktk uongozi wake
TETESI;
DR. John Pombe Magufuli ameagiza vijana wote wa JKT waliomaliza mafunzo hivi karibuni waajiriwe, hakuna kuachwa mtu.