Hatari iliyopo kwa wanaosema watasema kila kitu baadae ni kuzidi kujihatarisha. to the best of my knowledge adui zake wanapanga strategy zaidi za kumuangamiza ili asipate fursa ya kusema. ni heri angesema sasa kama ana uwezo wa kusema ili kama wameamua mkummaliza atuachie message ya nini hasa hutokea. hata kama ni kwa siri. Mwakyembe aliwahi kuahidi kitu cha jinsi hiyo, mpaka leo amemwachia Mungu!