Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Nataman nikamuambie hivi "Mpenzi wangu nakupenda ila tatizo linakuja pale unapotaka kunibusu yaani ndevu zako kali kama pin huwa unanichoma pindi unaponibusu maeneo fulan ya mwili wangu" Kweli kwenye mapenzi wadada tunavumilia mengi.
Bahati mbaya sipendi kabisa ndefu...wengine wanasema ni nzuri zinachochea mwelekeo wa zoezi zima.Zinachafua kidevu na kupoteza muda wa kuwaona vinyozi