Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani
mie zinanipa kichefuchefu kama maneno ya Kikwete....na sura yake ya kuchekacheka kama SHOGAsheria ipi? Tangu lini polisi wanatoa kibali cha maandamano? Polisi wanatoa ulinzi. Wewe lazima una u genius wa kuandika pumba! Post zako huwa zinanisikitisha tu!
Hii Tarehe 3 imetoka wapi? watanzania tunashida gani? kwanini tunakuwa wapotoshaji wamakusudi namna hii? du inakatisha tamaa kitu kimeandikwa tena ni namba ambazo huwezi kufananisha hata kidogo du! sifuri kabisa.....
Angepigwa bomu angekuwa hai kusema hayo unayo yasema?
Una maanisha Kikwete angepigwa bomu angekuwa anachekacheka kwenye huzuni au? Simpendi Kikwete na kamwe sitompenda huyu muuajiOriginally Posted by Inkoskaz
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price
Mkuu, humu kuna watu kazi yao ni hiyo tu!!Hii Tarehe 3 imetoka wapi? watanzania tunashida gani? kwanini tunakuwa wapotoshaji wamakusudi namna hii? du inakatisha tamaa kitu kimeandikwa tena ni namba ambazo huwezi kufananisha hata kidogo du! sifuri kabisa.....
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price
Kama polisi ni zaidi hapa nchini sasa tutajuana huku uraiani.
Polisi na ndugu zao wote hatutawapa ushirikiano tena huku uraiani popote pale, hatutafanya biashara yoyote na nyie na hata ukilazimisha lifti kwenye gari yangu kuna uwezekano mkubwa nikabamiza gari langu mwenyewe kwa upande uliko ili ufe sawa na raia wenzetu mliowaua kiunyama Arusha.
Tangu sasa polisi hata kama ni ndugu yangu toka nitoke tusijuane na mtoto wangu yeyote atakayejiunga na jeshi hili alaaniwe na afe mara moja hata kabla hajamaliza mafunzo hayo.
Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????
Maneno ya kipuuzi unayaita ya busara?
Ndesamburo ni mzee mwenye tabia za kihuni. Anadiriki kusema eti nchi haitatawalika....mpuuzi kweli kweli.
Anadhani nchi ni guest house mpaka isitawalike? ... Wenye uchungu na nchi hii tutahakikisha inatawalika!
Mzee huyu hana busara na hawezi kumlaani hata panzi.....aliyelaaniwa anaweza kulaani?
Una maanisha Kikwete angepigwa bomu angekuwa anachekacheka kwenye huzuni au? Simpendi Kikwete na kamwe sitompenda huyu muuaji
Una maanisha Kikwete angepigwa bomu angekuwa anachekacheka kwenye huzuni au? Simpendi Kikwete na kamwe sitompenda huyu muuaji
people humu wanadiscuss reality sio chuki wala ushabikiSwadakta!! wewe ndiwe haswaa umewakilisha mawazo au yaliyo moyoni mwa wengi humu. Siku zote nilikuwa najiuliza, lakini leo nimepata jibu. Kumbe ni CHUKI BINAFSI ndiyo inawasumbua?? Kama humpendi,, saga chupa unywe basi kama vipi Bro. Duh! yaani Mtu analala anafikiria tu saa ngapi kupambazuke aje amtukane Rais humu? Ama kweli hiki ni kizazi cha nyoka.