mzee wa wazee
Member
- Nov 1, 2010
- 70
- 19
Magafu huyu jamaa kasema mwananchi ya tarehe 7 na si 3 kama ulivyo quote hapo juu. Sorry he might have the pointDuhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????
Mzee Ndesamburo roho imesinyaa, moyo kupata ganzi, na akili kukaribia kuweuka pindi niliposoma KAULI HII NZITO KITAIFA na yenye kuonyesha uchungu mwingi sana na kusononeka vibaya sana moyoni.
Poleni sana tena sana kwa jinsi mlivyolazimika kudhalilishwa mbele ya macho yetu sisi umma wa Tanzania kana kwamba nyinyi ni majambazi hatari wa kupigwa mabomu nchini!!!
Ndiyo maana mimi nakuita wewe stupidbrain. Kumbuka tafsiri yangu ya studpid (showing a lack of intelligence, perception, or common sense). Sikushangai na wa sitakushangaa kwa pumba unazotoa zinazoenda sambamba na ndunguyo Makamba.Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani
Laana ni kwa CHADEMA kwa kutosikia yale yaliyoelekezwa kwao kwa mujibu wa sheria. Na vilevile kwa kujichukulia sheria mkononi kudai haki kwa nguvu pasipo kwenda mahakamani
Mkuu kayasema wapi hayo?
Maneno hayo yamenitia simanzi. Kama ni laana jk umezipata.
Maneno ya kipuuzi unayaita ya busara?
Ndesamburo ni mzee mwenye tabia za kihuni. Anadiriki kusema eti nchi haitatawalika....mpuuzi kweli kweli.
Anadhani nchi ni guest house mpaka isitawalike? ... Wenye uchungu na nchi hii tutahakikisha inatawalika!
Mzee huyu hana busara na hawezi kumlaani hata panzi.....aliyelaaniwa anaweza kulaani?
CHADEMA is only true opposition in Tanzania we have to support them for a change!
aliongea kwenye jukwaa walivyopigwa mabomu arusha mmesahau?Duhh! sidhani kama kweli huyu jamaa aliyeanzisha hii post yuko makini. Mabomu wamepigwa tarehe 5 then gazeti la mwananchi la tarehe 3 liandike habari hii ya maneno ya Ndesamburo!!!! Please, verify????
Yeye Jk anaona amefika mwisho wa safari..lakini ajue msemo usemao mpanda ngazi hushuka! atawakuta wanamsubiri ..labda ajiyeyushe kama Balali
Mkuu Mwamunyange pale si mahali pake arudi tu akaimarishe JKTDu haya tena alichokitaka Ndesa kimetokea tena Gongo la Mboto, ametabiri Nchi hii haitatawalika, naona kweli ana wafuasi wengi mpaka wanataka makamanda na Mawaziri wajiuzulu.
Tunaenda wapi wajameni? hamataki kutulia kila siku kuwa against tu?
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price
Maneno ya kipuuzi unayaita ya busara?
Ndesamburo ni mzee mwenye tabia za kihuni. Anadiriki kusema eti nchi haitatawalika....mpuuzi kweli kweli.
Anadhani nchi ni guest house mpaka isitawalike? ... Wenye uchungu na nchi hii tutahakikisha inatawalika!
Mzee huyu hana busara na hawezi kumlaani hata panzi.....aliyelaaniwa anaweza kulaani?
this is abusive language!it is unfair!tupo hapa kubadilishana mawazo na si kutukanana!!ndiyo maana mimi nakuita wewe stupidbrain. Kumbuka tafsiri yangu ya studpid (showing a lack of intelligence, perception, or common sense). Sikushangai na wa sitakushangaa kwa pumba unazotoa zinazoenda sambamba na ndunguyo makamba.
CDM ni kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla...chama kisicho na dira, kinachokurupuka na kurukia kila kitu wakidhani ndiyo siasa.