Ndesamburo - Msiache kula pesa za CCM

Ndesamburo - Msiache kula pesa za CCM

mihadarati

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
268
Reaction score
74
Leo mbunge wa Moshi philemon Ndesamburo amesema kuwa wananchi wasiache kula rushwa ambayo imekuwa ikitembezwa na ccm kwani ni kodi za wananchi zilizoibwa na viongozi hao.

Ndesamburo amesema kuwa vijana walioandaliwa kwa ajili ya kufanya vurugu kwenye uchaguzi huo hawataweza kupenyeza mbele ya kikundi cha ulinzi cha Mgombea udiwani huyo FRank Kagoma kwabi kimehipanga vya kutosha.

Ndesamburo amesema yeye amekuwa tishio kwa CCM kila mara na wamekuwa wakihonga mamilioni ya pesa lakini bado amekuwa akiibuka na ubunge na hivyo itakuwa kwenye uchaguzi huo mdogo ambao CCM imejipanga muwanunua vijana kwa ajili ya kufanya fujo kama ambavyo imekuwa ikitokea katika sehemu nyingine.

Meya wa Moshi Japhary Michael alisema kuwa hakuna kura itakayoibiwa kwani wamejipanga vya kutosha na kama kuna mbinu chafu ccm inategemea kuweza kupata ushindi utakuwa inapoteza muda kwani hakuna wakala atakayenunuliwa.
 
Haya maneno yasiyo na busara hayapaswi kutoka kwenye kinywa cha mzee wa miaka 80.
 
Haya maneno yasiyo na busara hayapaswi kutoka kwenye kinywa cha mzee wa miaka 80.
Jamani tulieeeeeni eeh CCM hata wakiiba wanatuachia tunaendelea kuishi jamaani etiee!!= Hiyo ndiyo busara kwako wewe mchina aka mchuna ndovu!! go to helllllllllllll
 
Haya maneno yasiyo na busara hayapaswi kutoka kwenye kinywa cha mzee wa miaka 80.

Hapana mkuu kama Mbowe alivuta za Mkono na Rostam kwa nini wananchi na wasivute?
 
Haya maneno yasiyo na busara hayapaswi kutoka kwenye kinywa cha mzee wa miaka 80.

Wewe busara unayoitaka ni kuwa ama wauze shahada au wachukue pesa ila wampigie mgombea wa ccm si ndio?
 
Haya maneno yasiyo na busara hayapaswi kutoka kwenye kinywa cha mzee wa miaka 80.

Wewe unabusara gani MSALANI una mjibu baba yako baba akisema wewe kaa kimya
 
Last edited by a moderator:
Haya maneno yasiyo na busara hayapaswi kutoka kwenye kinywa cha mzee wa miaka 80.

Acha umbulala ww kwann yasiwe ya busara, kwan nani asiyejua ccm wanatembeza pesa, mfano kama kata ya sombetin arusha ccm watenga milion mia6 na wanatembea nyumba kwa nyumba kugawa hz pesa ili tumchague mgombea wa ccm, hata mm nimekula sn pesa za ccm ni jasho langu cku ya kura j2 chadema, subir wakata wakuhesabj kura sasa, chadema, chadema chadema chadema chadema chadema chadema chadema, ccm, chadema chadema chada chadema chadema chadema chadema chadema, kafu, chadema chadema chadema chadema ccm, chada chadema chadema hahahahahahahaha chazea chada weye, sombetin tutawachapa magamba galaa
 
Chadema ni genge la wahuni na wauwaji
 
Haya maneno yasiyo na busara hayapaswi kutoka kwenye kinywa cha mzee wa miaka 80.

yanafaa kutolewa na mtu kama wewe ambae huna kazi unaishi kwa buku saba ........silly
 
Haya maneno yasiyo na busara hayapaswi kutoka kwenye kinywa cha mzee wa miaka 80.

maneno safi sana

mtoa rushwa pesa yake chukua, na haki isimamie pila.... ukimfanyia hivyo mara tanu-nne ataacha kutoa rushwa

atakosa imani na wapokea rushwa hivyo itabidi aache
 
I would say the same Kula pesa zao ola kura unajua wa kumpa.
Tena waseme hili kitaifa...
 
mwaka huu CCM watakoma kulinga na Zito wao.
 
kula pesa wewe ukiona hii misisiemu inakuletea pesa we kula na mimi nawavizia wakizileta tu nazitafuna na kura siwapi hadi takukuru wanashindwa kulishughulikia hili asee
 
Back
Top Bottom