Nakandamiza Kibara
Senior Member
- Jul 17, 2007
- 143
- 10
What? Lead by Exemplar. Ametumia pesa ya nani? Huyu anataka kuwarubuni wananchi tu!
SYLLOGIST..Mheshimiwa Ndesamburo ni mmoja wapo wa wabunge wachache ambao wana resources nikimaanisha wealth na sio kama wabunge njaa wengine walio ingia kwenye siasa ili kujitajirisha. Japokuwa motives za kuingia kwenye siasa ni tofauti kwa kila mtu, ninaamini si fedha kwani alikuwa na biashara kubwa tu kabla hata ya kuingia bungeni.
Unbataka kusema huyu Mzee hana pesa ya kufanya hayo anayo yafanya ? Anataka kuwarubuni ili apate nini ?
Ndugu Syllogist
Kuwarubuni wananchi wakupigie kura halafu ukatimiza yale uliyo ya ahidi siyo dhambi na ni sawa 100%. Narudia! so long as you deliver whatever you have promised! Ni mawazo ya Nyerere ndiyo bado tunayo kuwa ukiwa nazo ni lazima umekwiba na ukitoa lazima ni kwa ajili ya rushwa. Ndiyo maana tunao mafisadi kibao kwa vile wamelelewa tukiamini kuwa lazima uibe ndo utajirike, lazima utumie nafasi uliyopewa na umma kujitajirisha. We have been brought up being indoctrinated kuwa hard work never pays! Ni hii generation ya sasa ndiyo inaanza kujikwamua kutokana na cancer hii!
Kuna watu Tanzania wanaofanya kazi na wametajirika clean! Ndesamburo ni mmoja wao and I can vouch for him. Sasa kama anatumia hiyo opportunity kujijenga kisiasa na eventually aka-deliver hicho alicho ahidi, huyo mimi nitampa kura yangu.Ndesamburo kama atawajengea soko la kisasa na akawaomba kura then they have an obligation to vote for him! Hii mentality kuwa kuwafanyia watu jambo lazima ni lazima intention iwe ni mbaya, ndiyo maana tunashindwa kuendelea na watu wengi wanaogopa kufanya vitu vya kuiendeleza nchi! Ukifanya hili .. oho.. unataka sifa, ukifanya hili - umetoa wapi pesa; the issue is transparency in all you do and do it with a clear conscious! Of course this is not a common trend in Tanzania!
That is my opinion and I have a right to it!
Syllogist,
Kama ni kura ni nani bora? Anayekupa t-shirt na kanga na pilau au yule anayekupa ardhi ya mradi endelevu? EL alikwenda Musoma na kushangaa kuona sekondari aliyojenga mbunge Mkono. Yeye na mihela yake chungu nzima amefanya nini cha maana? Cha kudumu?
Salaam toka darilasamaaa
Nimeona mnatumia maneno kama kuwarubuni watu wamchague yeye .Nani kwanza kawaambia kama anategemea kugombea Ubunge ? Je tuangalie anina ya misaada anayo toa ni mara yake ya kwanza ?The has been giving money kwa mambo ya kuonekana .Kaibadilisha hata stand ya Moshi imekuwa ya kisasa kwa standard ya nyumbani .Mwaka 2005 kwenye uchaguzi I was in Moshi bahati nzuri nilikaa floor moja ya Hotel na Mzee Mangula wakati alikuja kwa special mission ya kuiba kura . What I saw kwenye hiyo hotel kuanzia kwa mkuu wa Mkoa , Wilaya na mampolisi sisemi .Ila hata matangazo ya nani kashinda ilichukua muda sana sana.Ilichukua 3 days wanavutana na Mama Minde alikuwa anasaidia hata state security lakini watu walisema no.
Siamini kama anawavuta watu mapema hapana maana amesha wahi kutenda kabla na wote mnajua hapa .Ukweli tuwe tuna usema . Kumbukeni pia anasema anajenga na swala la kujenga with time all will be seen .Tungoje ashindwe then tuje na hoja ya kuwarubuni na kama atajenda atakuwa hakurubuni ndiyo inatakiwa sasa viongozi wawe.
Kumbukeni marehemu Salome , Mkono na wenine wamefanya haya . Salome aliagawa pikipiki kwa jeshi la polisi na Mkono aligawa na kujenga shule .Je waliwarubuni ma polisi na wananchi ?
JF Members and contributors to this thread if I were you I would ignore the comments of SYLLOGIST.He has already displayed his ignorance sufficiently .Let's concentrate on more important issues like the BOT scandal and not forgetting the mining industry .