Ndesamburo aja na hili tena

Nakandamiza Kibara

Senior Member
Jul 17, 2007
143
10
Peter Temba in Moshi
Daily News; Sunday,January 13, 2008

MOSHI Urban MP Philemon Ndesamburo has purchased a 5-acre plot at Kiboriloni area, to relocate over 1,000 traders currently shuffled at King George Memorial Stadium here. The MP told a cheering crowd here on Saturday that his decision to set up the market, which he also intends to modernise, was based on the fact that Kiboriloni was an international market, where Tanzanians and foreigners buy and sell various goods.

Mr Ndesamburo said he was negotiating with Municipality fathers to see how the business people could begin their activities at the new place and leave the stadium for other sport and celebration activities.

He took the occasion to publicly declare that he would contest the Moshi
parliamentary seat in 2010. Ndesamburo said he was heavily indebted to the electorate in his constituency, because he was an ardent development activist who has to do a lot more.

"If am nominated by my party (CHADEMA) and later re-elected, I will
introduce sustainable poverty alleviation development projects in this
constituency", he said. He blamed Moshi Municipal Council for allegedly
undermining his efforts to ameliorate welfare of his electorate on political grounds, suggesting that functionaries who harbour false feelings that the opposition camp was incapable of delivering should
relinquish their posts immediately. "Why should opposition parties be
discriminated when implementing development projects?" he queried,
advising relevant authorities to allow him serve his electorates
unimpeded.
 
What? Lead by Exemplar. Ametumia pesa ya nani? Huyu anataka kuwarubuni wananchi tu!
 
What? Lead by Exemplar. Ametumia pesa ya nani? Huyu anataka kuwarubuni wananchi tu!

SYLLOGIST..Mheshimiwa Ndesamburo ni mmoja wapo wa wabunge wachache ambao wana resources nikimaanisha wealth na sio kama wabunge njaa wengine walio ingia kwenye siasa ili kujitajirisha. Japokuwa motives za kuingia kwenye siasa ni tofauti kwa kila mtu, ninaamini si fedha kwani alikuwa na biashara kubwa tu kabla hata ya kuingia bungeni.
 
Kwa mambo yake haya ndiyo maana CCM wanashindwa pa kuanzia kumsakama na kutwa jimbo lile .Mzee huyu ni real bwana when it comes katika maendeleo .
 
Nakandamiza Kibara
Jinsi ulivyoweka hio article ulitegemea ni seme nini? haukutujulisha unataka nini.

'What? ': Kwa kweli Imenishitua as an MP kufanya hivyo ilinishitua-Basi kumbe kama mfanyabiashara basi kudos.

Lead by Exemplar: Hapa niliona kama yeye amefanya hayo kama MP basi ndio kwamba 'he is a good role model' laiti ni mfanyabiashara hakuna kipya alichokifanya- kama hiyo ya kununua 5-acre plot!

Ametumia pesa ya nani: Jibu nimelipata! Yeye ni mfanyabiashara na ana wealth. Mantiki niliyotumia ya kuuliza ilikuwa kama individual:ambaye sasa inajulikana kama mfanyabiashara-au kama MP nilitaka kujua kama hizi pesa zinagaiwa bungeni au la!

Huyu anataka kuwarubuni wananchi tu!: Hii inabaki kama ilivyo. Sasa kama hiyo siyo hongo ni nini?

Kibara kama ulitaka tujadili hili ungeelewesha kadamnasi, lakini kama umebandika hiyo article hapa kama ilivyo, ninavyoelewa katika forum hiyo ulitaka comments za watu...niko wazi kukosolewa
Asante.
 
SYLLOGIST..Mheshimiwa Ndesamburo ni mmoja wapo wa wabunge wachache ambao wana resources nikimaanisha wealth na sio kama wabunge njaa wengine walio ingia kwenye siasa ili kujitajirisha. Japokuwa motives za kuingia kwenye siasa ni tofauti kwa kila mtu, ninaamini si fedha kwani alikuwa na biashara kubwa tu kabla hata ya kuingia bungeni.

Capitol Hill

Nandevu nyingi kama hizo utaenda tu kununua ekari tano na kugawa tu? ndio kurubuni kwenyewe-nilitaka kusema hongo lakini ilikuwa haingii-sasa nikisema labda alikuwa anatoa hongo kwa wapiga kura hao 1000 nitakuwa nimekosea?

Kwa kweli kama ni mfanyabiashara na alikuwa na azma nzuri tu basi hakuna taabu. Kwa mwandishi kudai ni MP amefanya hivyo(kuleta maendeleo) pia ni kudanganya kadamnasi. Au hii ndio sera ya CHADEMA? Jee ofisi ya MP ina bajeti? Tueleweshane
 
Ndugu Syllogist

Kuwarubuni wananchi wakupigie kura halafu ukatimiza yale uliyo ya ahidi siyo dhambi na ni sawa 100%. Narudia! so long as you deliver whatever you have promised! Ni mawazo ya Nyerere ndiyo bado tunayo kuwa ukiwa nazo ni lazima umekwiba na ukitoa lazima ni kwa ajili ya rushwa. Ndiyo maana tunao mafisadi kibao kwa vile wamelelewa tukiamini kuwa lazima uibe ndo utajirike, lazima utumie nafasi uliyopewa na umma kujitajirisha. We have been brought up being indoctrinated kuwa hard work never pays! Ni hii generation ya sasa ndiyo inaanza kujikwamua kutokana na cancer hii!

Kuna watu Tanzania wanaofanya kazi na wametajirika clean! Ndesamburo ni mmoja wao and I can vouch for him. Sasa kama anatumia hiyo opportunity kujijenga kisiasa na eventually aka-deliver hicho alicho ahidi, huyo mimi nitampa kura yangu.Ndesamburo kama atawajengea soko la kisasa na akawaomba kura then they have an obligation to vote for him! Hii mentality kuwa kuwafanyia watu jambo lazima ni lazima intention iwe ni mbaya, ndiyo maana tunashindwa kuendelea na watu wengi wanaogopa kufanya vitu vya kuiendeleza nchi! Ukifanya hili .. oho.. unataka sifa, ukifanya hili - umetoa wapi pesa; the issue is transparency in all you do and do it with a clear conscious! Of course this is not a common trend in Tanzania!

That is my opinion and I have a right to it!
 
Mkuu Sly,

Heshima mbele, Ndesamburo ni tycoon ambaye hahitaji hata kujiingiza kwenye siasa, yeye kama Freeman wangeweza kukaaa tu home na kutesa wala hawahitaji kuhangaishana na siasa, ninamfahamu kwa karibu yeye na hasa mtoto wake wa kike ambaye ni jaji wa mahakama yetu moja, mara ya mwisho nilikutana na Ndesamburo majuu na nikamsaidia sana ku-shop magari ya kuzima moto aliyowanunulia jimbo lake la uchaguzi, alinunua mawili na kuwafanya wazungu waliokuwa wakiyauza kupagawa, kuona muafrika akiyanunua kwa hela zake za mfukoni yaani cash!

Kwa hiyo usishangae hayo ya kujenga soko, kwake ni change tu hizo wala hahitaji mshahara wetu mbuzi, mambo mengine ni kuona na kuyaacha kama yalivyo, Ndesamburo is just too big for hizi siasa zetu za mitulinga na kutafutana uchawi!
 
Syllogist,
Kama ni kura ni nani bora? Anayekupa t-shirt na kanga na pilau au yule anayekupa ardhi ya mradi endelevu? EL alikwenda Musoma na kushangaa kuona sekondari aliyojenga mbunge Mkono. Yeye na mihela yake chungu nzima amefanya nini cha maana? Cha kudumu?
 
Ndugu Syllogist

Kuwarubuni wananchi wakupigie kura halafu ukatimiza yale uliyo ya ahidi siyo dhambi na ni sawa 100%. Narudia! so long as you deliver whatever you have promised! Ni mawazo ya Nyerere ndiyo bado tunayo kuwa ukiwa nazo ni lazima umekwiba na ukitoa lazima ni kwa ajili ya rushwa. Ndiyo maana tunao mafisadi kibao kwa vile wamelelewa tukiamini kuwa lazima uibe ndo utajirike, lazima utumie nafasi uliyopewa na umma kujitajirisha. We have been brought up being indoctrinated kuwa hard work never pays! Ni hii generation ya sasa ndiyo inaanza kujikwamua kutokana na cancer hii!

Kuna watu Tanzania wanaofanya kazi na wametajirika clean! Ndesamburo ni mmoja wao and I can vouch for him. Sasa kama anatumia hiyo opportunity kujijenga kisiasa na eventually aka-deliver hicho alicho ahidi, huyo mimi nitampa kura yangu.Ndesamburo kama atawajengea soko la kisasa na akawaomba kura then they have an obligation to vote for him! Hii mentality kuwa kuwafanyia watu jambo lazima ni lazima intention iwe ni mbaya, ndiyo maana tunashindwa kuendelea na watu wengi wanaogopa kufanya vitu vya kuiendeleza nchi! Ukifanya hili .. oho.. unataka sifa, ukifanya hili - umetoa wapi pesa; the issue is transparency in all you do and do it with a clear conscious! Of course this is not a common trend in Tanzania!

That is my opinion and I have a right to it!

Ndio mzalendo mwenzangu: Tupo pamoja! Nimeitumia 'kurubuni' kama ulivyo elezea.

Comments zangu zilichukuliwa out-of-context na NaKandamiza kibara. Sikudhani alitaka kutafuta mdahalo hapa, niliendelea kumweleza na kumuuliza, Nimerudia mara mbili mbili hiyo article nabado naishia sehemu ile ile "Huyu anataka kuwarubuni wananchi tu!"

Nafikiri hiyo 'tu!' ndio inataka kuleta tafrani za kisiasa. Field Marshall,Capitol hill wote wamenipa fundisho hapa. Inavyoonekana hizo habari za Biashara.

Sina nini wala lile na Ndesamburo, simjui-nawala sitaki kumchafulia jina-angalia tu comment yangu ya kwanza.
Asante.
 
Ndasamburo ni mbunge wangu. Ila naweza kusema huyu mzee bwana anajitahidi. Ni tajiri anayejeribu kula na masikini. Nakumbuka aliwahi kununua Amblance kwaajili ya Hospital ya mkoa (Mawenzi Hospital) kwa pesa zake mwenye. Nakumbuka huyu mzee aliwahi kutoa msaada wa compter nyingi tuu kwa shule moja ya sekondari huko moshi serikali ikashindwa kupeleka umeme.

Unajua kutokana na kujitoa kwake kutumia chake cha mfukoni ndio imefanya CCM washindwe kumtoka kabisa pale. Uliza watu wakuambie Shemeji yake Mkapa (Mama Minde) alivytumia pesa nyingi kuwarubuni watu wa Moshi mjini lakini bado tuu walimchagu Ndesa Pesa.

Ndio huyu mzee ni tajiri na huwa tunasema kuwa mtu h ashibi pesa lakini kwa kitendo chake cha kutoa pesa zake kuletea watu maendeleo hata kama nikumletea mtu mmoja maendeleo ni mfano wa kuigwa.

Kwani matajiri wangapi wanazo jamani na wanashindwa kusaidia?
 
Syllogist,
Kama ni kura ni nani bora? Anayekupa t-shirt na kanga na pilau au yule anayekupa ardhi ya mradi endelevu? EL alikwenda Musoma na kushangaa kuona sekondari aliyojenga mbunge Mkono. Yeye na mihela yake chungu nzima amefanya nini cha maana? Cha kudumu?

Jasusi
Zalendo kama alikopi mawazo yangu kichwani na ndio maana tulikubaliana yaani kwa mantiki nyingine ameweza kuchambua comments zangu! at the end of it, I have a right to my opinion/comments.

Laiti huu ni mjadala wa kuzungumzia trend za wabunge wa kisasa na maendeleo mbadala wanoyoifanya(sasa sijui wanafanya kama sera za nani au kwa itikadi gani)basi tuendelee kufahamishana. Hata mie huyo, kama ndio nateseka karibu na uwanja, na nikapata sehemu, ntamchagua Ndesamburo-Hili sitalikataa- mbeleni kama ni njaa ndio inanisumbua ntaenda kwa yule atakayenirubuni na PILAU au sio wangu?

If this is a new trend to be discussed then let us discuss-My short and concise comment is not startling.
Asante
 
Salaam toka darilasamaaa
Nimeona mnatumia maneno kama kuwarubuni watu wamchague yeye .Nani kwanza kawaambia kama anategemea kugombea Ubunge ? Je tuangalie anina ya misaada anayo toa ni mara yake ya kwanza ?The has been giving money kwa mambo ya kuonekana .Kaibadilisha hata stand ya Moshi imekuwa ya kisasa kwa standard ya nyumbani .Mwaka 2005 kwenye uchaguzi I was in Moshi bahati nzuri nilikaa floor moja ya Hotel na Mzee Mangula wakati alikuja kwa special mission ya kuiba kura . What I saw kwenye hiyo hotel kuanzia kwa mkuu wa Mkoa , Wilaya na mampolisi sisemi .Ila hata matangazo ya nani kashinda ilichukua muda sana sana.Ilichukua 3 days wanavutana na Mama Minde alikuwa anasaidia hata state security lakini watu walisema no.

Siamini kama anawavuta watu mapema hapana maana amesha wahi kutenda kabla na wote mnajua hapa .Ukweli tuwe tuna usema . Kumbukeni pia anasema anajenga na swala la kujenga with time all will be seen .Tungoje ashindwe then tuje na hoja ya kuwarubuni na kama atajenda atakuwa hakurubuni ndiyo inatakiwa sasa viongozi wawe.

Kumbukeni marehemu Salome , Mkono na wenine wamefanya haya . Salome aliagawa pikipiki kwa jeshi la polisi na Mkono aligawa na kujenga shule .Je waliwarubuni ma polisi na wananchi ?
 
This country needs more people willing to give and not take all the time. Viongozi wetu wangekuwa na moyo wa kutoa na sio pesa tu, kutoa uaminifu, utendaji kazi bora nk tusingekuwa katika moja ya nchi maskini duniani.

Viongozi na wengi wetu tupo hapa kujitwalia tu without thinking of the other person. let us hope watu kama kina ndesa wataongezeka na viongozi wengeni watajifunza waache kutuibia and start giving.
 
JF Members and contributors to this thread if I were you I would ignore the comments of SYLLOGIST.He has already displayed his ignorance sufficiently .Let's concentrate on more important issues like the BOT scandal and not forgetting the mining industry .
 
Salaam toka darilasamaaa
Nimeona mnatumia maneno kama kuwarubuni watu wamchague yeye .Nani kwanza kawaambia kama anategemea kugombea Ubunge ? Je tuangalie anina ya misaada anayo toa ni mara yake ya kwanza ?The has been giving money kwa mambo ya kuonekana .Kaibadilisha hata stand ya Moshi imekuwa ya kisasa kwa standard ya nyumbani .Mwaka 2005 kwenye uchaguzi I was in Moshi bahati nzuri nilikaa floor moja ya Hotel na Mzee Mangula wakati alikuja kwa special mission ya kuiba kura . What I saw kwenye hiyo hotel kuanzia kwa mkuu wa Mkoa , Wilaya na mampolisi sisemi .Ila hata matangazo ya nani kashinda ilichukua muda sana sana.Ilichukua 3 days wanavutana na Mama Minde alikuwa anasaidia hata state security lakini watu walisema no.

Siamini kama anawavuta watu mapema hapana maana amesha wahi kutenda kabla na wote mnajua hapa .Ukweli tuwe tuna usema . Kumbukeni pia anasema anajenga na swala la kujenga with time all will be seen .Tungoje ashindwe then tuje na hoja ya kuwarubuni na kama atajenda atakuwa hakurubuni ndiyo inatakiwa sasa viongozi wawe.

Kumbukeni marehemu Salome , Mkono na wenine wamefanya haya . Salome aliagawa pikipiki kwa jeshi la polisi na Mkono aligawa na kujenga shule .Je waliwarubuni ma polisi na wananchi ?

Lunyungu hebu nenda mwanzo wa thread kuna article soma kwanza.
 
JF Members and contributors to this thread if I were you I would ignore the comments of SYLLOGIST.He has already displayed his ignorance sufficiently .Let's concentrate on more important issues like the BOT scandal and not forgetting the mining industry .

:D
Asante mkuu!
 
Binafsi sifagilii chama chochote cha siasa Tanzania, kumekua na tuhuma hapa JF kwamba mtandao huu ni wa Chadema na maoni mengi yanayotolewa kwenye hii thread yananilazimisha kuanza kuamini hili.
Nakumbuka wiki kadhaa hapa kulikua na habari ya Bw. Msekwa kujenga shule ya sekondari huko kwao Ukerewe, mashambulizi aliyoyapata yalikua ni ya kutisha na kushangaza.Kuna tofauti gani kati ya kitendo chake na hiki cha Mh. Ndesamburo? Tusiwe biased waziwazi kiasi hiki jamani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom