Waliotumia ndere NI kweli hii dawa inamvuto mkali au stori za vijiweni, Kuna wadau wameniambia ukitumia hi unapata dem yeyote hata awe mwarabu je NI kweli?
Tafuta hela utapata kila demu umtakae. Halaf kingine, hivi karne hii tunayokwenda nayo ni ya kutumia dawa za mvuto wa mapenzi??. Tena mtoto wa kiume!!!. Mambo hayo waachie kina dada.

Ndugu nikwambie kweli hii ndere nina ushahidi nazo zipo za utajiri za mvuto na za vyeo na za biashara na makazin kuna babu yupo tanga hapa ni jirani yetu watu wanakuja na magari yao hapa kufuata iyo kitu kama vipi nitafute nikuunge nae uyo babu 0744903557

nimeishi na wadau wangu wamezitumia nilikuwa nawaona jinsi wanavyolalamika plus baada ya kubadilisha mademu kwa sana kitu ambacho nlkuwa nawaona waliishia kubadilisha ni nguo zao walijuta kuzitafuta