johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Nimeziona nikiwa maeneo ya Mbezi Tangibovu, ni ndege za jeshi nafikiri tayari kwa maonesho ya kesho.
Hizo pesa zilizotumika kununulia mafuta wangenipatia zingetosha kununua viwanda vidogo kwa ajili ya kusindika nyanya japo mikoa miwili Iringa na Morogoro, ambao ndiyo wakulima wakubwa wa zao Hilo na wakulima wangeepukana na hasara.Nimeziona nikiwa maeneo ya mbezi tangibovu, ni ndege za jeshi nafikiri tayari kwa maonesho ya kesho
Ahsante kwa kunijuzaMbona zaidi ya mwezi zinazurula kwa tuliopo chanika.
Hizo pesa zilizotumika kununulia mafuta wangenipatia zingetosha kununua viwanda vidogo kwa ajili ya kusindika nyanya japo mikoa miwili Iringa na Morogoro, ambao ndiyo wakulima wakubwa wa zao Hilo na wakulima wangeepukana na hasara.
Kwahiyo ulitaka wasifanye mazoezi....Hizo pesa zilizotumika kununulia mafuta wangenipatia zingetosha kununua viwanda vidogo kwa ajili ya kusindika nyanya japo mikoa miwili Iringa na Morogoro, ambao ndiyo wakulima wakubwa wa zao Hilo na wakulima wangeepukana na hasara.
yaani kama nchi hatujui hatma yetuNaona sasa tumeanza kupata sura nyingine ya Tanzania... maana pia mimi jana nimekutana na wanajeshi huku mkoani nilipo..ni wengi kama siafu wanapita mtaani wakiwa wamebeba bendera nyekundu sijui wanaenda wapi. Mungu atunusuru maana naona kuna mtu huenda hajui anachofanya
MG21 siku hizi ni ndege? Kama hujui mambo ya kijeshi no bora ukae kimya siyo kujiaibisha.Ndege zenyewe zakiboya sana ni zile MG21 za zamani za kirusi zinapiga kelele kama trekta,, mwendo wa hovyo pia ina viraka sana,,,
Kimaelezo yupo sahihi sema zinaitwa MiG-21 na siyo MG21.MG21 siku hizi ni ndege? Kama hujui mambo ya kijeshi no bora ukae kimya siyo kujiaibisha.
Utakua upo Tabora bla shakANaona sasa tumeanza kupata sura nyingine ya Tanzania... maana pia mimi jana nimekutana na wanajeshi huku mkoani nilipo..ni wengi kama siafu wanapita mtaani wakiwa wamebeba bendera nyekundu sijui wanaenda wapi. Mungu atunusuru maana naona kuna mtu huenda hajui anachofanya