Ndege zetu hazitaki shombo LA samaki

MICHUTZ

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
271
Reaction score
534
Tanzania na #Rwanda zinafanya mazungumzo ya kutumia ndege za Rwanda kusafirisha samaki kutoka Kanda ya Ziwa kwenda masoko mbalimbali duniani, hatua itakayofungua fursa kwa wafanyabiashara wa samaki wa jumla, ambao wamekuwa wakidai kua gharama za kutumia viwanja vya ndege vya Nairobi na Entebbe zimeongezeka.

Mwaka 2017/18 serikali ilikusanya TZS tril 1.7 kutoka sekta ya samaki, ambapo TZS trilioni 1.1 zilikusanywa kutoka Kanda ya Ziwa.

@Swahilitimes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngongoti hongera sana kwa akili nyingi. Za kwetu ni ndege sharobaro hazitaki shombo wacha zi park
 
Itapendeza tena serikali ikinunua ndegebya mizigo hata ka A320 au 737
 
Waliazna kwenye madini mpaka ukuta ukazungushwa, sasa wamehamia kwenye samaki, sijui sasa nyavu zitazungushwa...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…