Ndege zatakiwa kubeba abiria wa nchi 7 za Waislamu kueleka Marekani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,411
Idara ya forodha ya Marekani imeyaambia mashirika ya ndege kwamba waruhusu abiria kupanda ndege kuelekea Marekani abiria ambao walinyimwa ruhusa baada ya Rais Trump kutoa amri kwamba watu kutoka nchi saba zenye Waislamu wengi, wakataliwe kuingia Marekani.

Shirika la ndege la Ghuba, Qatar Airways, lilisema litaanza kupakia abiria haraka.

Hatua hiyo inafuata saa tu baada ya jaji wa mahakama ya taifa ya Marekani, kuzuia amri hiyo ya Rais Trump kwa muda.

Mahakama iliamua kuwa hatua ya rais ilivunja katiba, ambayo inakataza dini moja kupendelewa kushinda nyengine.

Serikali inasema itakata rufaa kupinga hukumu hiyo.

Katika hotuba yake ya kila juma, rais alisema amri yake ilikusudiwa kuwalinda Wamarekani.

Chanzo: BBC
 
kila mtu bila kujali dini,kabila itikadi,mila, nk ana haki ya kuishi popote duniani,kwani hakuna wamrekani wanaokwenda nchi hizo?
Hutakiwi huko kutokana na vitendo vya kigaidi Kama September 11 unalazimisha nini kwenda? Huhitajiki huko Kama hutaki wamarekani kwenu wafukuze sio kungangania nchi za watu

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Waislamu mmeshaambiwa hamtakiwi kuingia marekani sasa mbona mnangangania kwenda? Kwa nn msikae kwenu au mkaenda nchi zingine mnazokubalika? Kwani lazima marekani?

Alafu bado wanawaita makafir.. huku wanawakimbilia kwao huko, ila wanawaita makafir, madrassa kazi sana, unamwita mtu kafir alafu unakimbilia na kulilia kuishi kwa huyo kafir, maalabuk..!!

Wenyewe kwa wenyewe wameharibu nchi zao, sasa wanakimbilia kwa makafir kuishi.. shida sana hawa...

Kiboko yao huyu hapa...

d6bc10d2d54ab91e02bd84fd15d72e2b.jpg
 
Alafu bado wanawaita makafir.. huku wanawakimbilia kwao huko, ila wanawaita makafir, madrassa kazi sana, unamwita mtu kafir alafu unakimbilia na kulilia kuishi kwa huyo kafir, maalabuk..!!

Wenyewe kwa wenyewe wameharibu nchi zao, sasa wanakimbilia kwa makafir kuishi.. shida sana hawa...

Kiboko yao huyu hapa...

View attachment 467392
Shule ndogo mkuu
 
Waisilamu si mkae makwenu mbona hamujiongez marekani hamutakiwi mbona mnalazimisha kwenda kwa makafiri
 
Waislamu mmeshaambiwa hamtakiwi kuingia marekani sasa mbona mnangangania kwenda? Kwa nn msikae kwenu au mkaenda nchi zingine mnazokubalika? Kwani lazima marekani?
Unamuuliza jaji aliyekataa amri ya Trump au unawauliza waislam?
 
Hutakiwi huko kutokana na vitendo vya kigaidi Kama September 11 unalazimisha nini kwenda? Huhitajiki huko Kama hutaki wamarekani kwenu wafukuze sio kungangania nchi za watu

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Wewe kama huna uwezo wa kwenda Marekani tulia hapo hapo kijijini kwenu.waache wenye uwezo waishi popote wanapotaka. Wamarekani wenyewe wanawataka wakaishi nao wewe nani unayekataa huko kijijini kwenu Tanzania?
Hii tabia ya kujifanya una uchungu na Marekani kuliko wamarekani wenyewe ni tabia mbaya na ya unafiki kwa watanzania mlio wengi na roho zenu mbaya.
 
Alafu bado wanawaita makafir.. huku wanawakimbilia kwao huko, ila wanawaita makafir, madrassa kazi sana, unamwita mtu kafir alafu unakimbilia na kulilia kuishi kwa huyo kafir, maalabuk..!!

Wenyewe kwa wenyewe wameharibu nchi zao, sasa wanakimbilia kwa makafir kuishi.. shida sana hawa...

Kiboko yao huyu hapa...

View attachment 467392
Toa unafiki hapa. Wewe una uchungu na Marekani kuwazidi wamarekani wenyewe? Ya kwenu Tanzania yanawashinda kazi kushadadia ya watu.
 
Wakati juzi wetu sisi alisema mahakimu watakao watetea wahalifu na wao wawekwe ndani. Wakaangua kicheko baada ya kumuonesha kama katiba ipo juu zaidi ya kauli zake, halafu tunalalamika hatuendelei tutaendelea vipi na mbululaz mmoja tu anasumbua nchi nzima.
kama huyo mbulula anapinga wizi na vitu vibaya kwangu anabadilika kuwa malaika... Hakuna mahakama TZ usijifananishe..ingekuwa nchi isingekuwa na uchafu wote huo.. Somewhere i see who is a really mbulula kwa kukosa kuelewa the main concept ya JPM
 
Waisilamu si mkae makwenu mbona hamujiongez marekani hamutakiwi mbona mnalazimisha kwenda kwa makafiri
Wamarekani wenyewe ndo wanaandamana ili waislam waruhusiwe kuingia Marekani. Cha ajabu nyie wamatumbi ndo mnajifanya mna uchungu sana na Marekani ajabu hii.

Wacheni roho mbaya nyie .mnajidhihirisha mlivyo na chuki dhidi ya waislam Bahati mbaya sana wamarekani hawana hizo roho zenu mbaya.
 
Back
Top Bottom