Tulisema kitambo hapa huyu dikteta.jana kajua aliharisha mharo so anajua kwamba watu hawakumwelewa na hawatamwelewa........ ni mtu gani huwa hotuba zake zile zile? nawapongeza haswa wanaomsiliza mimi huwa siwezi maana hata sauti yake kwangu nahisi ni laana kabisa.............
Acha plagiarism, akikuskia mwenye kauli hizo inakula kwako,
Haya ni maneno mufilisi ya ukabila.Hamuwezi kumuelewa nyie kaskazini,wezi wakubwa na wabinafsi sana.uku kwetu tunajiandaa kuwatimua mrudi kwenu.maana uko kwenu hakuna mtu anaeweza kufanya biashara.wote mnaambiana husiende duka lile sio wa kwetu.
Chuki yako inatisha kama mauti, naamini mtawala hawazi unavyowaza.Hamuwezi kumuelewa nyie kaskazini,wezi wakubwa na wabinafsi sana.uku kwetu tunajiandaa kuwatimua mrudi kwenu.maana uko kwenu hakuna mtu anaeweza kufanya biashara.wote mnaambiana husiende duka lile sio wa kwetu.
Huyo jamaa anaaibisha watu wenye akili, wajasiriamali na wachapakazi kutoka Kigoma waliosambaa barabarani Dar, sasa na huku tukisema hatutaki kuona baiskeli zao wanaotuuzia matunda na madafu itakuwaje?Kweli wewe wa kigoma umekaa kiziro ziro hata kuandika kwako inaonyesha we ni ziro yaani jamii ya ziro brain
MBONA MAPEMA MNOYatakuwa maandalizi ya 9 December
Huyu nae akaleta siasa kwenye depojana kajua aliharisha mharo so anajua kwamba watu hawakumwelewa na hawatamwelewa........ ni mtu gani huwa hotuba zake zile zile? nawapongeza haswa wanaomsiliza mimi huwa siwezi maana hata sauti yake kwangu nahisi ni laana kabisa.............
Acha Uwoga wewe, mtaweza kupigania nchi kama una weweseka na vitu vidogoAsee mm npo K. Koo ile ya kwnz imesababisha nmeanguka
mimi kwenye tv wakiweka hotuba yake nabadili channeljana kajua aliharisha mharo so anajua kwamba watu hawakumwelewa na hawatamwelewa........ ni mtu gani huwa hotuba zake zile zile? nawapongeza haswa wanaomsiliza mimi huwa siwezi maana hata sauti yake kwangu nahisi ni laana kabisa.............
Mkuu mimi nimeshafika hapa zimbabwe kitambo nasubiria kupata tu taarifa kama kimeshanuka...Jamani niko posta hapa zinapita ndege za jeshi zina milio ya kutisha niambieni jamani kuna nini ili kama kimenuka niende zimbabwe mapema
exactly!! people are fearing of nothingThe fear of unknown
Kabisa labda zingekuwa ndege za kijeshi za nchi nyingine hapo sawa,tuache siasa kwenye mambo mengineMkuu mbona mambo mengine hayajakaa kisiasa?!usikute hao jamaa wanazipasha moto tu coz vita hakuna na zikikaa bila kupashwa moto zitakufa halafu itakuwa hasara,kama gari tu!!