Ndege za Drone. Pamoja na HIMARS

Ndege za Drone. Pamoja na HIMARS

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Wakuu wa JF naombeni kujuzwa Namna hizi ndege za Drone zinavyofanya Kazi please.

Pamoja na hizi vitu HIMARS

Asanteni sana wakuu .
 
Himars ni matipa kama yale ya kumwaga mchanga ya isuzu. Tofauti nikuwa haya ya isuzu yanamwaga mchanga pale liliposimama na mchanga unatokea nyuma ila himars yenyewe inamwaga mchanga mbali na ilipo na mchanga unatokea mbele

Niko balimi msinichukie kama nimekosea wanajukwaa
 
HIMARS uzi wake upo tushaizungumzia OP asaidiwe kupata link.

Drones zinakuwa operated kutoka chini. Kama ndege zinavyokuwa na aircraft control chini na rubani kwenye ndege, drones vyote hivyo vinakuwa chini. Drones zinatumia satellites kupata direction ya eneo la kushambulia na nyingine zina terrain following (uwezo wa kukwepa milima na kupita mabondeni). Na pia zina inertia navigation kama kawaida.

Zinakuwa na optical instruments kama camera na vifaa vya mawasiliano. Nyingine zinabeba silaha na nyingine hazibebi mfano hii MQ-1C Gray Eagle ni ya kuchunguza adui ila haibebeshwi mabomu wala makombora
UKETNNEUAROITNWICOA3BWELOU.jpg

Operator anakuwa zake labda Airforce base iko mji fulani Marekani, drone iko Saudi Arabia na ground crew inairusha juu ila mashambulizi yanafanyika Afghanistan na operator aliyeko Marekani.

I suspect umeuliza hivyo baada ya kujua shambulio la kiongozi wa Al Qaeda lililofanywa nchini Afghanistan siku ya Jumamosi. Ili kukwepa kuua raia wasio na hatia (collateral damage) Marekani inatumia kombora ambalo halilipuki bali lina visu ambavyo huchana ukuta au body ya gari na kuua. Lingekuwa bomu la mlipuko wangekufa hata waliosimamisha gari pembeni kwenye foleni ila hili linaua walioko kwenye gari hilo moja tu. Na ndio lilitumika dhidi ya General Qasem Soleimani (RIP) wa Iran
20220802_114755.jpg
 
T14 Armata kindly come to your position and answer this question please. this dude wants to how those MASHIKOLOLO magen how are they working.
before you, on this forum we had certain guy named ML (international forum)the guy is so educated and intelligent like you whenever I used to see his comment I had to put my attention over his comments but Since putin has overpowered by Us in ukrein he's no longer commenting on this forum, now I'm frequently seeing him on jukwaa la MAPENZI na MAHUSIANO . he's no longer interested with this forum anymore.
THEN GUYS
I don't need any dude to interrupt my comment because of my poor English 😂😂some of you guys carrying English as if it's your birt right. People have to start to understand English is foreign and those who can't speak them fluently should not be shamed and discouraged from communicating🤣🤣
 
HIMARS uzi wake upo tushaizungumzia OP asaidiwe kupata link.

Drones zinakuwa operated kutoka chini. Kama ndege zinavyokuwa na aircraft control chini na rubani kwenye ndege, drones vyote hivyo vinakuwa chini. Drones zinatumia satellites kupata direction ya eneo la kushambulia na nyingine zina terrain following (uwezo wa kukwepa milima na kupita mabondeni). Na pia zina inertia navigation kama kawaida.

Zinakuwa na optical instruments kama camera na vifaa vya mawasiliano. Nyingine zinabeba silaha na nyingine hazibebi mfano hii MQ-1C Gray Eagle ni ya kuchunguza adui ila haibebeshwi mabomu wala makomboraView attachment 2312875
Operator anakuwa zake labda Airforce base labda iko mji fulani Marekani, drone iko Saudi Arabia na ground crew inairusha juu ila mashambulizi yanafanyika Afghanistan na operator aliyeko Marekani.

I suspect umeuliza hivyo baada ya kujua shambulio la kiongozi wa Al Qaeda lililofanywa nchini Afghanistan siku ya Jumamosi. Ili kukwepa kuua rais wasio na hatia (collateral damage) Marekani inatumia kombora ambalo halilipuki bali lina visu ambavyo huchana ukuta au body ya gari na kuua. Lingekuwa bomu la mlipuko wangekufa hata waliosimamisha gari pembeni kwenye foleni ila hili linaua walioko kwenye gari hilo moja tu. Na ndio lilitumika dhidi ya General Qasem Soleimani (RIP) wa IranView attachment 2312876
Sawasawa Mkuu..umefafanua vizuri sana,najifunza sana kwako kiongozi.
 
T14 Armata kindly come to your position and answer this question please. this dude wants to how those MASHIKOLOLO magen how are they working.
before you, on this forum we had certain guy named ML (international forum)the guy is so educated and intelligent like you whenever I used to see his comment I had to put my attention over his comments but Since putin has overpowered by Us in ukrein he's no longer commenting on this forum, now I'm frequently seeing him on jukwaa la MAPENZI na MAHUSIANO . he's no longer interested with this forum anymore.
THEN GUYS
I don't need any dude to interrupt my comment because of my poor English 😂😂some of you guys carrying English as if it's your birt right. People have to start to understand English is foreign and those who can't speak them fluently should not be shamed and discouraged from communicating🤣🤣
Huyo ni Malcolm Lumumba. Huwa hakanyagi popote ambapo watu hawajibu kistaarabu na wanaendeshwa kiwendawazimu. Mimi naweza deal na mtu hata anayetukana, naenda na tone yake.

Tuliwahi kuwa na mjadala kuhusu China VS USA ana uzi wake mzuri sana humu una madini. Jana nimeona relevance ya nilichokuwa naamini na nilichosisitiza uzi ule
 
HIMARS uzi wake upo tushaizungumzia OP asaidiwe kupata link.

Drones zinakuwa operated kutoka chini. Kama ndege zinavyokuwa na aircraft control chini na rubani kwenye ndege, drones vyote hivyo vinakuwa chini. Drones zinatumia satellites kupata direction ya eneo la kushambulia na nyingine zina terrain following (uwezo wa kukwepa milima na kupita mabondeni). Na pia zina inertia navigation kama kawaida.

Zinakuwa na optical instruments kama camera na vifaa vya mawasiliano. Nyingine zinabeba silaha na nyingine hazibebi mfano hii MQ-1C Gray Eagle ni ya kuchunguza adui ila haibebeshwi mabomu wala makomboraView attachment 2312875
Operator anakuwa zake labda Airforce base iko mji fulani Marekani, drone iko Saudi Arabia na ground crew inairusha juu ila mashambulizi yanafanyika Afghanistan na operator aliyeko Marekani.

I suspect umeuliza hivyo baada ya kujua shambulio la kiongozi wa Al Qaeda lililofanywa nchini Afghanistan siku ya Jumamosi. Ili kukwepa kuua raia wasio na hatia (collateral damage) Marekani inatumia kombora ambalo halilipuki bali lina visu ambavyo huchana ukuta au body ya gari na kuua. Lingekuwa bomu la mlipuko wangekufa hata waliosimamisha gari pembeni kwenye foleni ila hili linaua walioko kwenye gari hilo moja tu. Na ndio lilitumika dhidi ya General Qasem Soleimani (RIP) wa IranView attachment 2312876
Hawa wenzetu wapo vizuri aisee
 
Fanya kuudondoshea hapa mkuu
 
Ww naye muongo muongo eti bomu linalochana visu unafikiri hapa unaongea na watoto unajitungia hilo bomu linalochana visu lililomuua general wa Iran mpaka video zake zipo gari inavyolipuka picha ya gari ya general Suleimani hiyo hvyo visu vinavyolipua gari visu vya aina gani?
images%20(13).jpg
 
Ww naye muongo muongo eti bomu linalochana visu unafikiri hapa unaongea na watoto unajitungia hilo bomu linalochana visu lililomuua general wa Iran mpaka video zake zipo gari inavyolipuka picha ya gari ya general Suleimani hiyo hvyo visu vinavyolipua gari visu vya aina gani?View attachment 2313210
Gari lina mafuta hilo, kinetic energy ikiwa kubwa inaweza toa sparks na kuwasha mafuta. Usiwe mbishi, mbona hujawahi kumiliki bomu ila unawasha moto? Aliyekwambia moto unatokana na bomu pekee hapa duniani nani. Hiyo missile inalenga kukwepa kutumia explosives, kuwaka moto sio shida ila kulipuka na kurusha vipande ndio shida ilipo. Hizi picha na nyingine nyingi tu zipo zinaonesha Soleimani wala hajalipuka hadi hela mfukoni na kuzimu kidogo zinaonekana.
23269914-7876089-Photos_also_show_items_Soleimani_was_carrying_including_a_cell_p-m-1_15787508...jpg
soleimani_hand_ring.jpg
Na matukio mengi tu ya matumizi ya hizo missiles yapo ambapo hakuna mlipuko
3DC8A6F400000578-4265870-image-a-4_1488243367957.jpg
20-06-14-Car-allegedly-carrying-Qassam-and-Bilal-al-Sanaani-978x1024.jpg
3DC8A70700000578-4265870-image-a-2_1488243310463.jpg
 
HIMARS uzi wake upo tushaizungumzia OP asaidiwe kupata link.

Drones zinakuwa operated kutoka chini. Kama ndege zinavyokuwa na aircraft control chini na rubani kwenye ndege, drones vyote hivyo vinakuwa chini. Drones zinatumia satellites kupata direction ya eneo la kushambulia na nyingine zina terrain following (uwezo wa kukwepa milima na kupita mabondeni). Na pia zina inertia navigation kama kawaida.

Zinakuwa na optical instruments kama camera na vifaa vya mawasiliano. Nyingine zinabeba silaha na nyingine hazibebi mfano hii MQ-1C Gray Eagle ni ya kuchunguza adui ila haibebeshwi mabomu wala makomboraView attachment 2312875
Operator anakuwa zake labda Airforce base iko mji fulani Marekani, drone iko Saudi Arabia na ground crew inairusha juu ila mashambulizi yanafanyika Afghanistan na operator aliyeko Marekani.

I suspect umeuliza hivyo baada ya kujua shambulio la kiongozi wa Al Qaeda lililofanywa nchini Afghanistan siku ya Jumamosi. Ili kukwepa kuua raia wasio na hatia (collateral damage) Marekani inatumia kombora ambalo halilipuki bali lina visu ambavyo huchana ukuta au body ya gari na kuua. Lingekuwa bomu la mlipuko wangekufa hata waliosimamisha gari pembeni kwenye foleni ila hili linaua walioko kwenye gari hilo moja tu. Na ndio lilitumika dhidi ya General Qasem Soleimani (RIP) wa IranView attachment 2312876
Mkuu elezea kidogo kuhusu hilo shambulio la Drone kwa kiongozi wa Al Qaeda

Kwanin Taliban hawakuinterrupt hiyo Drone kabla haijafanya shambulizi. Ni kwamba haionekani au iko spidi sana hailengeki

Je kwa macho ya kawaida haionekani, yaan huwezi kuiona inakuja ukaikwepa? Nauliza kitoto toto msinishangae
 
Taliban hawana air defence system. Drones zile zinaonekana kwa macho zikiwa attitude ndogo hasa ikishuka kidogo kushambulia ila hujui inaenda kushambulia wapi na kwa kesi kama ile wanakula timing wanasubiri muda wa kulala, magaidi wakiwa kwenye vikao ili wafe wengi au adui yuko safarini ndio wanashambulia. Mara kadhaa raia miji korofi ya Kiarabu huwa wanaziona drones zinapita hadi watoto mitaa hiyo huwa wanajua milio yake.

Kwanza Taliban wana makubaliano na Marekani kwamba hawatakuwa wanahost magaidi, ndio maana Taliban ilitoa tamko la kudai haikujua kama huyo kiongozi alikuwa mjini Kabul.
 
Marekani kuna muda inasaidia kusafisha upuuzi ktk huu ulimwengu la sivyo ugaidi ungekuwa ni wa moto sana.
 
Gari lina mafuta hilo, kinetic energy ikiwa kubwa inaweza toa sparks na kuwasha mafuta. Usiwe mbishi, mbona hujawahi kumiliki bomu ila unawasha moto? Aliyekwambia moto unatokana na bomu pekee hapa duniani nani. Hiyo missile inalenga kukwepa kutumia explosives, kuwaka moto sio shida ila kulipuka na kurusha vipande ndio shida ilipo. Hizi picha na nyingine nyingi tu zipo zinaonesha Soleimani wala hajalipuka hadi hela mfukoni na kuzimu kidogo zinaonekana.View attachment 2313323View attachment 2313322 Na matukio mengi tu ya matumizi ya hizo missiles yapo ambapo hakuna mlipukoView attachment 2313328View attachment 2313326View attachment 2313325
Kwahyo hilo gari la qaseem ndio Lina mafuta kinetic energy ikawa kupwa ikalipuka Hila hayo magari mengine hayakuwa na mafuta na kinetic energy haikuwepo
 
Back
Top Bottom