Ndege yenye lift kutengenezwa Marekani

Ndege yenye lift kutengenezwa Marekani

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,523
Reaction score
8,286
CNN imetaja ndege yenye lifti ndani itakayotengenezwa na kampuni ya Marekani ya windspeed.

Lifti hiyo imewekwa ili abiria waweze kufika kwenye siti pacha zilizotengenezwa juu ya bodi la ndege hiyo ili kuona nje wakiwa angani. Ndege hii itakua ndege ya kwanza kua na lifti ndani na wametaja kuanza na ndege binafsi na baadae kufikia kwenye ndege kubwa.
ImageUploadedByJamiiForums1469872561.931628.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1469872575.798203.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1469872588.700073.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1469872606.435391.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1469872622.384944.jpg
 
hadi umeuliza bei bila shaka unataka kununua
Ahaha Bila shaka mkuu. Lakini nilitaka kupima bei ya hii kitu na innovation nyingine zilizowahi kufanyika. Nafikiri hii kitu italetwa na Boeing company baada ya airbus kuwasumbua sana kwenye commercial aircrafts.
 
Sasa huko angani unataka kuona nn nje ya ndege, waache ujinga waanze kufanya vitu vingine badala ya kufanya vitu visivo na mantiki
 
Back
Top Bottom