Nipo Lugalo hapa, nimeona kuna ndege ndogo, ikiyumba na kutoa na moshi, inaelekea kuanguka, imeelekea upande wa mbali kidgo. Ningeweza fatilia na kuleta picha hapa, maana itakuwa imeanguka si mbali, ila nimebanwa. Alie karibu zaid na mwenye uwezo alete.info za kutosha na picha kwa faida ya wengi.
Binafsi sijakuelewa Mkuu.
kama imebeba cc ya ccm hata hiyo ndege ipotelee huko angani hawana faida kwetu.Imebeba CC ya ccm?
mkuu una uwakika na unachoandika hapa Jf.Imeanguka Tayari,walikumemo Nape Nnauye,Mwigulu Nchemba,Kinana na Ramadhani Ighondu Yule Wa TISS,nasikia Wamekufa Wote.
Imeanguka Tayari,walikumemo Nape Nnauye,Mwigulu Nchemba,Kinana na Ramadhani Ighondu Yule Wa TISS,nasikia Wamekufa Wote.
Acha ianguke tu
Eneo lilitajwa (isipokuwa uelekeo) ambalo hiyo ndege ili overfly ni nyeti sana