Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Abuu, huenda ni kitukuu cha mtume hicho? lolHuyo mtoto inabidi azidi kusali.
Abuu, huenda ni kitukuu cha mtume hicho? lolHuyo mtoto inabidi azidi kusali.
Inasikitisha saana, Binafsi natilia shaka ubora wa Airbus, hizi ndege kwa muda sasa zimekuwa zikikubwa na ajali za mara kwa mara, Ni majuzi tu tulisikia ajali ya Air France iliyokuwa inatokea Brazil ndege ilikuwa ni Airbus na iliuwa abiria wote, kuna Airbus ilidondoka Bahari ya hindi, maiti ziliokotwa mpaka TZ, naona imefika wakati muafaka sasa mashirika ya ndege yasusie kampuni ya Airbus na kuhamia kwa ndege za Boeing ambazo naamini kiusalama ni nzuri kuliko Airbus
Kutoka hapa..na habari za ile ndege hapa.''Ni kweli ATCL inadaiwa Sh39 bilioni na kulipa gharama za ile ndege iliyopata hitilafu kule Mwanza. Fedha hizo zinalipwa Shirika la Ndege la Air Bus. Kutokana na hilo kamati imeiagiza bodi ya ATCL kuleta vielelezo vya mikataba iliyongia na shirika hilo katika Bunge la linaloanza Aprili mwaka huu,'' alisema Mwenyekiti wa kamati hiyo Mohamedi Misanga.