Ndege ya British Airways aina ya Boeing 747-400 imegonga jengo dogo la ofisi kiwanjani Oliver Tambo, Johannesburg Afrika Kusini. Ilikuwa inaelekea kondoka kwenda London, Uingereza.
Inaelekea ni kosa la rubani kupita njia (taxiway) tofauti na alivyo elekezwa na mwongozaji, Air traffic controller.
Hakuna majeruhi na aliyeumia zaidi labda ni rubani kwa aibu ya kitendo hicho.
Hata bondeni nao wanajichanganya kama uku kwetu ni wiki tuu imepita badala ya barabara no27 KIA ikatua barabara no27 Arusha.
Tuyazoee hayo majanga.
Inawezekana waongozaji ni matrainee!!??
Hata bondeni nao wanajichanganya kama uku kwetu ni wiki tuu imepita badala ya barabara no27 KIA ikatua barabara no27 Arusha.
Tuyazoee hayo majanga.
Inawezekana waongozaji ni matrainee!!??
Incidents kama hizi hutokea sana kwenye hizi shughuli.
Ni sawa na jinsi magari yanavyokwaruzana au kuingia kwenye mitaro etc.
Hayatangazwi tu ila pale patakapo tokea majeruhi au mauti.