FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Afghastan siyo/haipo duniani mkuu!... yaani ndege ya abiria inaanguka na kuua abiria wote lakini bado haijafahamika ni ya shirika gani potelea mbali ni aina gani! Ilidhaniwa ni ya shirika la ndege la Ariana lakini shirika hilo limepinga ripoti hizo! Kuna matatizo mahali.
... hatari sana Mkuu!Afghastan siyo/haipo duniani mkuu!
Asee nimeshangaa mnoo... yaani ndege ya abiria inaanguka na kuua abiria wote lakini bado haijafahamika ni ya shirika gani potelea mbali ni aina gani! Ilidhaniwa ni ya shirika la ndege la Ariana lakini shirika hilo limepinga ripoti hizo! Kuna matatizo mahali.
All is well in turampet voice [emoji23][emoji23][emoji12][emoji14]
Pole sana mkuu hawataonekane tena hao kama general qasim suleymani!TETESI: Ndege iliyoanguka nchini Afghanistan ni ya Marekani (USAF). Kundi la Taliban ladai kuhusika kuiangusha.
====
Taliban claims it shot down US military plane which crashed in Afghanistan
US officials are investigating the cause of a crash in Afghanistan after a US Air Force plane went down in Taliban-controlled territory, according to reports.
A Taliban spokesman said the plane crashed in the Ghazni province and killed "lots" of US service members,
Source: The Independent
Kwaiyo ilikuwa na watu wa 4 na robo ama!?Ndege iliyoanguka ni Bombardier Global Express, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali.
Ndege hiyo ni business jet lakini si kwa matumizi ya kawaida bali ni ndege ndogo ya kijeshi (military version) Bombardier E-11A 11-9358 ambayo ni mali ya Jeshi la Anga la Marekani, USAF.
Taarifa zinasema kuwa, ndege hiyo ilikuwa na watu wasiofikia watano (5) ndani yake. [Fox News]
Hakuna uthibitisho wowote kwamba ndege hiyo iliangushwa (ilitunguliwa) kama kundi la Taliban linavyodai.
Mkuu ni ndege ya kijeshi ya marekani licha ya hapo awali marekani kukanusha mwishowe leo wanekili.... yaani ndege ya abiria inaanguka na kuua abiria wote lakini bado haijafahamika ni ya shirika gani potelea mbali ni aina gani! Ilidhaniwa ni ya shirika la ndege la Ariana lakini shirika hilo limepinga ripoti hizo! Kuna matatizo mahali.
Ni ndege ya kijeshi ya marekani mara ya kwanza alikuwa ameikana lakini leo kakili ya kwamba ni ya kwao.All is well in turampet voice [emoji23][emoji23][emoji12][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
.... thanks for updates Mkuu. Ajali ni jambo la kawaida tuwape pole walioathirika.Mkuu ni ndege ya kijeshi ya marekani licha ya hapo awali marekani kukanusha mwishowe leo wanekili.