Ndege ya abiria 13 yaanguka Norway

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
151106171017_russia_plane_crash_624x351_reuters_nocredit.jpg


Ndege moja imeanguka karibu na mji wa Norway wa Bergen huku ikiwa na abiria 13 na kuna ripoti ya watu kuonekana katika bahari.

Maafisa wa uokoaji wameviambia vyombo vya habari kwamba ndege hiyo imeharibika vibaya.

Picha kutoka katika eneo la mkasa huo zinaonyesha moshi mkubwa ukifuka katika eneo lenye mwamba mkubwa.

Gazeti la Norway Aftonbladet limeripoti kwamba ndege hiyo aina ya helikopta ilikuwa ikielekea katika eneo la mafuta la Brage kutoka Bergen.

==================

A helicopter has crashed west of the Norwegian city of Bergen with 13 people on board.

There were reports of people in the sea, but a rescue official told broadcaster NRK that there were no signs of any survivors.

The helicopter was "totally destroyed". Photos from the scene showed thick smoke coming from an area of rocky islets.

It was flying from the Gullfaks oil field to Bergen.

The western city is a centre for the North Sea oil and gas industry.

The helicopter, a Eurocopter 225, came down near the small island of Turoy, just west of the village of Solsvik.


Source: BBC
 
Back
Top Bottom