englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Hapo ndipo raha ya kukunwa inapooneka.
Hapo ndipo raha ya kukunwa inapooneka.
Nafikiri mkunaji, raha huzidi pale mkunwa anapoonesha thamani ya kukunwa.Ivi mkuna na mkunwa nani hu enjoy zaidi?
Nafikiri mkunaji, raha huzidi pale mkunwa anapoonesha thamani ya kukunwa.
Hilo ndilo tatizo la mfumo jike, raha tupate wote malipo alipe mmoja. Ikitokea wamechangia japo kidogo tu, baadhi yao utawakuta wamekuja humu mbio na kuanika hadharani kila kitu.Ngoja waje wakunwaji watujuze though najiuliza kama hivyo ndivyo, mbona malipo atoe mkunaji?
Hilo ndilo tatizo la mfumo jike, raha tupate wote malipo alipe mmoja. Ikitokea wamechangia japo kidogo tu, baadhi yao utawakuta wamekuja humu mbio na kuanika hadharani kila kitu.
inategemea unakuna na kukunwa wapi!:smile-big:Ivi mkuna na mkunwa nani hu enjoy zaidi?
inategemea unakuna na kukunwa wapi!:smile-big: