Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,764
ngoja zipigwa mabomu hapo hapo kama za entebbeHebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.
Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.
View attachment 3439235
ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.
GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.
adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
Jamii wanatumia nguvu kubwa sana kulitambulisha hilo taifa mpka hongo wanatoaHebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.
Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.
View attachment 3439235
ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.
GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.
adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
Sio teule takatifu nani kasema hizo za Israel ni teule na takatifu?
Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.Sio teule takatifu nani kasema hizo za Israel ni teule na takatifu?
Akili zenu wagalatia hata yesu anashika kichwaHebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.
Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.
View attachment 3439235
ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.
GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.
adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
Yaani nyie akili zenu hata kinyesi cha myahudi mtakula mkiambiwa ni kitakatifu.. inasikitisha sana...Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.
God bless, defend and protect Israel.
gallow bird
Nchi yako Tanzania Samia imepanga ngapi labda kama hizi za Israel mpaka hivi sasa?Mbona kawaida kiongozi? au kuna kipi hapo cha ajabu.?
Hahaha 🤣😂Busu la Kenge unashangaa ndege na upo zako Ulaya nina mashaka Trump aliichoma ngoma yako unaweza kuwa upo zako Kilwa Kivinje unakunywa visungura ndugu yangu ngoja nikuungie uje Hong Kong nina safari miezi minne ijayo huko ushangae uwanja wao upo baharini na una ndege za kutosha..
Na yeye angeonyesha ndege za nchi yake ..Nchi yako Tanzania Samia imepanga ngapi labda kama hizi za Israel mpaka hivi sasa?
Unazungumzia vipi hawa Wateule hawampendi Yesu wanamuona mzushi na kutokana na Bible hao ndio walimtundika Msalabani na kumpiga misumari bila huruma ?Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.
God bless, defend and protect Israel.
gallow bird
Nina mashaka na uchawa wa a pathetic Scumbabag Busu la Kenge nadhani sio kula kinyesi Cha Myahudi tu hata kutoa chake kwa ajili ya Myahudi anaweza kwani anaamini kinyesi chake kitakuwa Kinyesi teule .Yaani nyie akili zenu hata kinyesi cha myahudi mtakula mkiambiwa ni kitakatifu.. inasikitisha sana...
Usimpakazie Mungu , una hakika alisema wapi au wanajimwambafai wenyewe tu? na wajinga kama nyinyi ndio mnaona ni kweli ??Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.
God bless, defend and protect Israel.
gallow bird
Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.
Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.
View attachment 3439235
ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.
GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.
adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
Hebu angalieni hapo Chini kwenye picha ndege teule zilivyojipanga, zilivyoegeshwa kwa ustad wa hali ya juu.
Ni ndege teule takatifu kutoka shirika teule takatifu Eli Al la nchi Teule takatifu ya ISRAEL.
View attachment 3439235
ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.
GOD BLESS, DEFEND AND PROTECT ISRAEL.
adriz Ritz gTurn 100 others @chaliifransisco Webabu Adiosamigo Chaliifrancisco Sir John Roberts
Myahudi, muisrael au mwana wa israel?Mungu mwenyewe alinena chochote anacho na anamiliki myahudi ni teule na takatifu. Na akaenda mbali zaidi na kusema ukimlaani utalaaniwa naam ukimbariki utabarikiwa.
God bless, defend and protect Israel.
gallow bird