Mfano wa Mchanganua wa ndege zetu.
KAMA...Nauli Mwanza sh.100,000 x 70 (ABIRIA)= 7,000,000
Toa gharama za mafuta,kodi ya viwanja, posho mbali mbali ukiwemo mvinyo,na Depreciation =7,000,000 - 3,400,000 =3,600,000 x Tripu 3 kwa siku...(go n return)=21,600,000 x mwezi =648,000,000
Ushauri.
KAMA KWELI HIZI NI NDEGE ZETU TUNAOMBA REPORT KWA MTINDO RAHISI KAMA HUO HAPO JUU.
NAMSHUKURUNI.