Ndege mpya ya Ethiopian Airlines - Boeing 737 - 8 MAX yaanguka na kuua watu 157 ikielekea Nairobi, Kenya

Nimekusoma mkuu. Ila bei zao ziko fair sana na wengi wanazipenda ila ndo hivo
 
Mkuu mbona wana crashes chache sana?

 
Hizi ndege toka zilipotoka niliziona ni tatizo zinapiga sarakasi kama Jet sasa zikipata marubani kama wa mabasi ya kisbo wakifika jirani na mtaa wa demu wake sifa zinaanzia hapo wengine tunafungua nyuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…