theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,731 Oct 21, 2016 #41 Hakuna mkuu... Kwa sasa zinafugia njiwa kabla ya kuanza safari
GOOGLE JF-Expert Member Joined Oct 29, 2012 Posts 1,889 Reaction score 1,127 Oct 21, 2016 #42 Retired said: Jamani hivi ATC wameanza kazi. Naomba kujua, it was scheduled to start on 15th Click to expand... Hili nalo la kuleta hapa ingia website ya ATCL uangalie!
Retired said: Jamani hivi ATC wameanza kazi. Naomba kujua, it was scheduled to start on 15th Click to expand... Hili nalo la kuleta hapa ingia website ya ATCL uangalie!
mwakagali Jr Senior Member Joined Oct 18, 2016 Posts 178 Reaction score 121 Oct 21, 2016 #43 GOOGLE said: Hili nalo la kuleta hapa ingia website ya ATCL uangalie! Click to expand... website ya atcl unaijua wewe ipita mpaka miezi mitatu kwanza. mimi najiuliza pia kama wameanza kazi lakini sijajua mpaka leo
GOOGLE said: Hili nalo la kuleta hapa ingia website ya ATCL uangalie! Click to expand... website ya atcl unaijua wewe ipita mpaka miezi mitatu kwanza. mimi najiuliza pia kama wameanza kazi lakini sijajua mpaka leo
T TUTU wa Jijia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2016 Posts 727 Reaction score 567 Oct 21, 2016 #44 Retired said: Jamani hivi ATC wameanza kazi. Naomba kujua, it was scheduled to start on 15th Click to expand... Tank thinker wa mama tanzania
Retired said: Jamani hivi ATC wameanza kazi. Naomba kujua, it was scheduled to start on 15th Click to expand... Tank thinker wa mama tanzania
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,246 Reaction score 102,412 Oct 21, 2016 #45 GOOGLE said: Hili nalo la kuleta hapa ingia website ya ATCL uangalie! Click to expand... Jamani kama unajua si uniambie tu! Wengine hizi simu zetu ni matatizo
GOOGLE said: Hili nalo la kuleta hapa ingia website ya ATCL uangalie! Click to expand... Jamani kama unajua si uniambie tu! Wengine hizi simu zetu ni matatizo