Ndege Imeanguka na Rubani Afa!

Safari,Umeifanya siku ya leo niianze vizuri hhahahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Ha ha haa umenishtua mh leo nimesafirisha watoto .lol!

Pole jirani........nilikuona asubuhi hii......tunajaribu kupunguza "hazira" za kimaisha na thread kama hizi...wakati wengine tunaomboleza wenzetu wanapongezana Ikulu kwa kutupatia maiti za ndugu zetu
 
Hii teknolojia tukiiendeleza inaweza ikapunguza hadha ya usafiri nchini.
 
Majeruhi wamewahishwa kwa sangoma kwa uangalizi zaidi wa kitabibu..
 
ha ha ha ha mbona kama rubani anazuga tu hapo ili asipigwe mawe na watu wenye hasira
 
aliishiwa mafuta au alikosea kiwanja cha kutulia.?
 
Hakuna tume yoyote iliyoundwa kuchunguza kuchunguza sababu za kuanguka kwa hiyo ndege?
 
Hata hivy tumeendelea.
Yaani siku hizi waganga wa kienyeji wanavaa gloves!!
 
Hawa wenye vitambaa vyekundu vichwani ndo Sumatra au tume ya kuchunguza anguko la ndege??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…