Ndege iliyopotea ikitafutwa

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
Askari wa Vietnam akiwa katika zoezi la kutafuta ndege ya Malaysia (Flight 370) iliyopotea




Wanajeshi wa Malaysia wakiwa katika zoezi la kutafuta ndege hiyo



Ndugu wa abiria wa ndege iliyopotea akiwa na majonzi





Wanamaji wa Indonesia wakiwa katika juhudi za kutafuta ndege hiyo




Waandishi wa habari wakinyoosha mikono kuuliza maswali juu ya ndege iliyopotea



Wanajeshi wa Indonesia wakiendelea na zoezi hilo



 
Raia wawili wa Iran waliotambuliwa kughushi passport za kusafiria (Pouri Nourmohammadi,kushoto, na Delavar Seyed) wanasadikiwa kuhusika na upotevu wa flight 370

 
Helicopter ya Marekani ikijiandaa kwenda kuongeza nguvu ya kutafuta Flight 370



Jopo la waokoaji likisali kabla ya kuendelea na zoezi la kutafuta flight 370

 
Mtalii wa Italiano akionesha passport yake mpya baada ya kuibiwa ya kwanza August mwaka jana na kusadikiwa passport yake huenda ilitumika na watu wawili walioghushi passport na kusafiri na ndege hiyo flight 370

 
Wakuu wa Buddhist wakisali kuombea abiria waliokuwemo kwenye flight 370



Meli ya Kivita ya wanamaji wa China ikijiandaa kuondoka kwenda kuongeza nguvu ya kutafuta Flight 370 iliyopotea

 
Hakuana mwenye taarifa mpaka sasa juu ya kupatikana kwa ndege hiyo??????????????
 
Ila kwa kuwaangalia hawa Iranians mbona kabisa wanaonekana kama wana kitu moyoni? They are not good chaps!!! Kisaikolojia, kuna doubt kabisa kwa hawa viumbe.
 
Majonzi kwa kweli, watu tumekuwa wakatili kuliko wanyama, eeh Mola tunusuru
 
Tyta vijana wanachukua jukumu lako....usihofu ndege ikiisha kupatikana assigment inaishia hapo
 
Last edited by a moderator:
Ndege hii inawezekana Imeanguka kwenye Milima au Baharini hasa maeneo yenye kina kirefu.

Na hii ndio sababu waokoaji bado hawajui hasa ni nini kilitokea.
 
Ngumu kujudge kwa style hiyo...mmoja alikua anaenda Germany kuonana na mama ake...only God knows the truth!!!
 
Hiyo ndege kama imetekwa na magaidi kwann hawajitokezi kueleza dhumuni la kuiteka????????
 
Ngumu kujudge kwa style hiyo...mmoja alikua anaenda Germany kuonana na mama ake...only God knows the truth!!!
Ni kweli lakini kinachotia mashaka ni hati zilizoghushiwa
 
Hakuana mwenye taarifa mpaka sasa juu ya kupatikana kwa ndege hiyo??????????????

Mi ninazo taarifa za ukweli kabisa...ni kwamba ile ndege imepotea haijaonekana na juhudi za kuitafuta zinaendelea maka marekani waomeongeza nguvu huku wenye ndugu zao wamekata tamaa wasijue cha kufanya...vp hapo mkuu umeridhika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…