Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,527
- 101,639
Huyu rubani ni jasiri sana, watu km hawa wanatakiwa kutambuliwa kitaifa na kupewa heshima. Asingefanikisha mbinu ya kutua ktk maji ingekuwa janga la kitaifa. Mungu mkubwa.
Mkuu Kwa namna ndege ilivyotengenezwa ina uwezo wa kuelea majini kama ilivyo meli pasipo kuzama unless iwe imekuwa deformed au imetoboka...
Katika mafunzo ya urubani huwa wanafunzwa namna ya kufanya emergency landing na ni maeneo yapi kufanya hivyo...
Mostly huwa ni juu ya water bodies au jangwani kwenye mchanga na wakati mwingine ikitokea emergency rubani anaweza kushusha ndege hata kwenye barabara ambayo huwa pre-evacuated maana deceleration ya ndege uhitaji runway ndefu kidogo.
Hivyo kwangu mimi siwezi muita moja kwa moja kuwa ni jasiri bali nitamsifia kuwa ni mmoja wa marubani weledi...unajua ni kama mjeda akiua adui, ile ni kazi yake kuua adui na wala sio ujasiri.
ujasiri ndo msingi wa weledi wake sababu angekuwa mwoga asingepata kufikiri vizuri na pengine angechangia ukubwa wa ajali.Mkuu Kwa namna ndege ilivyotengenezwa ina uwezo wa kuelea majini kama ilivyo meli pasipo kuzama unless iwe imekuwa deformed au imetoboka...
Katika mafunzo ya urubani huwa wanafunzwa namna ya kufanya emergency landing na ni maeneo yapi kufanya hivyo...
Mostly huwa ni juu ya water bodies au jangwani kwenye mchanga na wakati mwingine ikitokea emergency rubani anaweza kushusha ndege hata kwenye barabara ambayo huwa pre-evacuated maana deceleration ya ndege uhitaji runway ndefu kidogo.
Hivyo kwangu mimi siwezi muita moja kwa moja kuwa ni jasiri bali nitamsifia kuwa ni mmoja wa marubani weledi...unajua ni kama mjeda akiua adui, ile ni kazi yake kuua adui na wala sio ujasiri.
Amemjibu yule rubani wa kule marekani aliyetua katika mtu huston Miracle on the Hudson river, lakini kwetu huku wanasema ndege imeanguka ziwani, tutakua watumwa mpaka lini, angekua mzungu wangemfagilia kweli huyo jamaa sana huko BBC na kwingine sisi tunasema ndege imeangukaHuyu rubani ni jasiri sana, watu km hawa wanatakiwa kutambuliwa kitaifa na kupewa heshima. Asingefanikisha mbinu ya kutua ktk maji ingekuwa janga la kitaifa. Mungu mkubwa.
ujasiri ndo msingi wa weledi wake sababu angekuwa mwoga asingepata kufikiri vizuri na pengine angechangia ukubwa wa ajali.
Du sana tu MkuuBonge la adventure