Ndc wameita katika interview

Ndc wameita katika interview

mangosutu

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
684
Reaction score
955
wadau natanguliza salamu kwenu
naomba kujulishwa kama ndc (national development cooperation) kama tayari wameshawaita watu katika interview.
 
Interview ip tena jaman?ilitangazwa ln?c walifanyaga mwaka jana cjui..ebu nieleweshe basi
 
Interview ip tena jaman?ilitangazwa ln?c walifanyaga mwaka jana cjui..ebu nieleweshe basi
deadline ilikuwa mwezi uliopita, walitangaza principal engineer in metallurgy, chief of material etc
 
Mara nyingi inakuwaga mwez wa kumi na moja tar za mwazoni....maana kiwanda tar 9 mwezi wa 12 ndyo JK ANAKUJA FUNGUA MAANA JUZI NDYO ALITOKA EKA JIWE LA KUKAMILIKA KWA UJENZI WA MAABARA PALE KWENYE BIOLARVICIDE PLANT.. KIBAHA TAMCO
 
Back
Top Bottom