Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #161
Umeziona hizo fungua na funga semi kwenye hiyo "Shinyanga Hotel" hapo juu? Jibu ni kwamba hapana. Nikupe mfano ni kama ilivyo "Magomeni Kagera" dsm na hakuna dsm Kagera Bukoba. Sasa umepata picha?
wewe si bado mwanafunzi?
ha ha haaaaa!!! Kwani ni nani aliyekwambia kuwa elimu ina mwisho??? Nitasoma hadi mwisho wa uhai wangu
kwahiyo ugenious haupo tena katika elimu yako ya sasa?
nimekuelewa ila picha sijapata,
Upo na utaendelea kuwepo labda hadi pale Mungu atakapoamua kuninyang'anya
utajiyang'anya mweenyewe ndugu yangu
utajiyang'anya mweenyewe ndugu yangu
Kwa nini unasema hivyo wangu?
Vizuri sana kama umenielewa.
Inaonekana umekolea huko kuna nini embu rudi nyumbani. I mic u
picha utapost saa ngapi?
Sikumanisha kupost picha bali nilikuuliza kujua kama umenielewa ama la. Ni hivyo tu ndugu yetu mpendwa.
kwa sababu Mungu wetu ni wa upendo hawezi kufanya hivyo
Kuna baa flani karibu na ofisi za jiji karibu na barabara ya kuelekea nyamanoro kuna samaki watamu balaaaa
Kuna baa flani karibu na ofisi za jiji karibu na barabara ya kuelekea nyamanoro kuna samaki watamu balaaaa
haina jina hiyo bar?
Unatumij jina la mtaa flani pale Sengerema. Bila shaka uko pande hizo.
Kuna baa flani karibu na ofisi za jiji karibu na barabara ya kuelekea nyamanoro kuna samaki watamu balaaaa