Ndani ya FASTJET...


Bahati mbaya sana mzee mpaka kufikia mwezi wa sita Fastjet hawatakuwepo angani.Take it from me guys! I am deep inside the aviation industry!
 
kwa upande wangu nadhani kwa huo muda wa saa moja hata kama utapata kinywaji sio mbaya maana jamaa wamerahisha sana maisha ya watanzania. Big UP FASTJET
 
Wewe panga vizuri tu mambo yako nadhani safari sio ngumu sana kihivyo, tofauti nakupewa vitu vingi huku gharama ni kubwa. Big up fastjet
 
Kwa awaida budget airline huwa hawagawi vinywaji wala chakula bure. Abiria lazima ununue. Usilalamike sana kwani hiyo 32,000 kwa dakika chake tu Bongo is a miracle kwa watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…