ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Habari, wana jamvi naomba kufahmishwa kwa wale ambao wameshawahi kuipanda hiyo ndege.Kwan kuna jamaa yangu kaja jana kutoka mwanza na hyo ndege,kaniambia kuwa vitu kama vinywaji na vitafunwa unanunua kwa cash, sasa naomba uhakika wa hilo ili nitakapoanza kuzimeki ili na mm nipande ndege kwa mara ya kwanza niweke na ka akiba ka vinywaji,namaanisha kwa nauli ya tsh 32 elfu ya bila vat,nasubiri majibu yenu ili nikaweke booking ya kuondoka mwezi wa 6 kuelekea mwanza,mwisho asanten fastjet kwa kufanya ndoto zetu za kupanda ndege kuwa kweli,naomba mungu aniwezeshe nifke huo mwezi wa sitaa
Lakin c wanadai ndege ndio usafiri wa usalama zaid??Ndio hivyo mkuu...bora yako una ndoto za kupanda dege...wengine hata tukiambiwa kapande ni bure tunaogopa kuanguka......
Nauli ya eflu 32 Dar -Mwz kwa ndege za FastJet ilikuwa na bei ya 'promoshen' na ilisha 'expire' sijui ni kwa nini bado wanaendelea kutangaza nauli hiyo!
Ndio hivyo mkuu...bora yako una ndoto za kupanda dege...wengine hata tukiambiwa kapande ni bure tunaogopa kuanguka......
Ni kweli mkuu...ila kuna watu tuna uwoga wa kupaa tuu..hata kama ni salama....Lakin c wanadai ndege ndio usafiri wa usalama zaid??
Hapo uwoga woote utakwisha...ha ha ha ha...nitaenda aiseeee.....Nataka twende Maui mi na wewe kwa holiday.......hapo vipi....?
Nataka twende Maui mi na wewe kwa holiday.......hapo vipi....?
Nackia watu nitawaona kama sisimizi,ni kweli?ngoja akayaangalie maghorofa ya Dar na Mwanza akiwa juu. Yanapendeza muno hasa pale inapoanzia kigiragila lumo
Nataka twende Maui mi na wewe kwa holiday.......hapo vipi....?
halafu hivi ni lazima ule kwenye ndege? kwani hiyo safari ni ya masaa mangap?
Lokissa amesema ni saa moja tu
Nackia watu nitawaona kama sisimizi,ni kweli?