ndani ya DUCE Tra interview

ndani ya DUCE Tra interview

kine

Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
38
Reaction score
6
watu ni wengi yapata kama elfu 3.tumekaguliwa vyeti,ss tunasubiri mtihani.
 
Aisee tupe updates ukitoka hapo.hivi jaman watu elfu tatu nafas zinazotakiwa ni ngapi?na huo stl ni mchujo
 
Kama mtu una mil 2 au 1 hupati kazi kama mnataka kuhakikisha waliopata hizo nafasi waje hapa kutoa ushuhuda kama watasema ukweli? Ila ukwel ndo huo kama una mil 2 basi kaa ukijua unaenda kupoteza muda.me nawafaham vijana watano wapo makao makuu pale wao wameingia wote kwa mil 13 huo ulikuwa mchango wa ndugu,marafiki,nk sasa we unataka uajiriwe bure sahau tena labla imani Itakuponya
 
Inakatisha tamaa sana. watu 3000+ post ni 50. simple ratio ni kwamba nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya 60. Kitu ambacho hakiwezekani kabisa.

Ingekuwa fair nafasi moja igombaniwe na watu wasiozidi watano. I mean wangeita watu max 250 tu.
 
huna haja ya kukata tamaa pambana
 
Ila cyo issue Wala nn? Paper Mtu umepata zote alafu unaachwa!!!!100%!!!!????
 
Ila cyo issue Wala nn? Paper Mtu umepata zote alafu unaachwa!!!!100%!!!!????

Mambo ya vimemo hayo utakuta hapo mlikua mnagombea nafasi aliyefaulu na anaejulikana..unazani nani atachukuliwa hapo.we usiomjua mtu utaachwa tu wanajua kazi zenyewe hata kama ujafaulu ukifundishwa unafanya tu ndio mana wanawabeba wenye kujulikana
 
"We have a long and difficult way to go"
 
Inasikitisha sana nafasi 50 wanawaita watu 3000+ si wangefanya mchujo angalau wawaite watu 150?
 
Back
Top Bottom