Ndani ya daladala

Ndani ya daladala

onetime

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
331
Reaction score
234
Wasiopanda daladala wanakosa utamu wa sentesi zifuatazo...
1.ntakupa
2.ngoja asimamishe nikupe
3.sasa hiv nilikaa ntakupaje..
..Na ww ongezea
 
"Atakupa nyuma"
"Hujapewa mbele?"
"Ikisimama ntakupa"
"Dereva simamisha"
 
Piga bao huyo,
mwache,
kula kichwa hicho,
konda njoo uchukue,
mi nshafika!
 
Unashukia wapi?

Ntakupa mia

suka piga cha uwani

Nilegezee suka

huyo Vacu

mtolee boya.

jah kama kamaida jero.
 
Back
Top Bottom