Mimi nilijua uko huko Kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka kumbe unazamia?!!!Wakuu habari,
Nimeshafika hapa cape town kwa Mara yakwanza.Yafuatayo ndio niliyoyakuta hapa
Hali ya hewa ni nzuri msimu huu wa summer.
Wenyeji wa eneo nililofikia wengi ni warangirangi
Tofauti na miji mingine hapa SA,cape town hakuna usumbufu wa polisi kukamata wahamiaji wasio na vibali vya kuishi(Hii ni nadra sana) hakuna kutembea na passport.
Vibaka wakirangirangi hapa Retreat wamejaa hivyo nikutembea kwa machale.NI HAYO TU,
NINASEHEM YAKULALA NA PESA KIDOGO YAKUNISUKUMA WALAU MWEZI MMOJA.
BADO NATAFUTA KIBARUA CHAKUFANYA KUJIINGIZIA KIPATO HIVYO KAMA KUNA CONNECTION YOYOTE KWA WENZANGU MLIOPO HAPA TUSAIDIANE.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] huku sitoki mpaka kieleweke mkuuSawa Kiongozi
Ila Umeondoka Tanzania Haraka Tu Wakati Nchi Ipo Vema Na Mambo Mengi Sana Mazuri
Tazama Ufunaji Korosho Na Uuzaji Wake Mbuzi Hawatakunywa Soda
Tanzania Ni Pazuri Nchi Ya Asali Na Maziwa
Nakushauri Urudi Na Wenzako
Hapa cape town na huko kuna umbali kiasi gani mkuu?Ahsante
Sawa Kiongozi
Ila Umeondoka Tanzania Haraka Tu Wakati Nchi Ipo Vema Na Mambo Mengi Sana Mazuri
Tazama Ufunaji Korosho Na Uuzaji Wake Mbuzi Hawatakunywa Soda
Tanzania Ni Pazuri Nchi Ya Asali Na Maziwa
Nakushauri Urudi Na Wenzako
Mapumziko ya mwaka kwa mtu kutoka Tanzania ni overstatement.Mimi nilijua uko huko Kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka kumbe unazamia?!!!
😂😃😁😀[emoji1] [emoji1] [emoji1] huku sitoki mpaka kieleweke mkuu
UnasemaaaaaNiko Lesotho mkuu
Ukipata chance karibu
Wewe unasubiri nini insta babe..Hahaha nimecheka sana we mtu sio mzuri kabisa yaani unamshauri kabisa arudi ebu muache mwenzako apambane bora alivyojiondokea tu kwenye hili jiji
Kwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Sasa siku ya kukuona nitakujuaje na umebandika plasta usoni hapo?Kwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019