Ndani ya bunge maalum la katiba...

huyu hata shuleni alikuwa ndo wale wanao tegea wenzao jojo kwenye viti
 
Haaaa....!!! Watoto wake watajisikiaje waonapo picha ya baba yao namna hiyo?? Zee limejishushia status yake hili daaah!! Ningekuwa na mamlaka ningemfukuza na viboko vya mgongoni kama mtoto maana niwajumbe wangapi walishindwa kuongea point za msingi kwa niaba yetu tokana na upumbavu wake??!!
 
Huyo mbunge anawakilisha kundi gani?Tusije tukawatunamlaumu bure wakati anawakalisha kundi la vichaa au kundi la wapuuzi!
 
kumbe hili zee sometimes ni se-nge? nimemshusha graph yake aliyekuwa nayo
 
Siku hizi umri sio kigezo cha kuwa na busara pamoja na uwezo wa kuchanganua mambo badala yake watu wazima kama hawa ndo wamekuwa ovyo kabisa mbele ya jamii.Watoto wetu wanajifunza nini kutoka kwa mtu kama huyu?Yeye pekee ndiye anaweza kuwa na jibu kwa swali kama hili.
 
tabia haina dawa, watu huzeeka nazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…