Sasa huu ubaguzi wa nini mtu anaweza kuwa na tatizo kubwa zaidi ya hili lakini akaambulia jokes tu.Ni kwa sababu kwenye hiyo ndoa anateseka mwanamke kwahiyo inaonekana kawaida ila angekuwa anateseka mwanaume ungeshasikia kauli kama "wanawake ni mashetani" mara "wanawake wa siku hizi hawafai kwa kuoa ni wa kupiga na kusepa tu" na mambo kama hayo
Siku zote mimba kwa mwanafunzi ni adhabu
Sasa huu ubaguzi wa nini mtu anaweza kuwa na tatizo kubwa zaidi ya hili lakini akaambulia jokes tu.
Furushi lingine hili hapaCha kufanya acha roho mbaya.
Tafuta kazi ya kufanya uwe busy sana.
Acha mdomo..
Acha kushindana na watoto wadogo...
Acha kumfunda sio mtoto huyo ni mtu mzima mwenzako.
Mpunguzie mumewe drama ametoka kazini kachoka hataki kusikia upuuzi wa kike kike..
Ukiweza kufanya hayo basi amani itarudi kwa kasi na mtaishi km mtu na mdogo wake.....
Hujambo cha ubishi wangu veveFurushi lingine hili hapa
Feminist katika ubora wakoFurushi lingine hili hapa
Mimi Siyo Veve MkuuHujambo cha ubishi wangu veveMissing you so mwaaah...
Acha kutaka kubadilisha mada unajifanya ndiyo unajua leo kuhusu mswala ya id wakati id nimebadili muda mrefu sana watu wengi wanajua na mimi ndiyo niliyewaambia na juzi juzi tu tulikuwa tunabishana mimi na wewe kwenye mada fulani nikiwa na hii hii id halafu leo unajifanya haujui hebu usigeuze mada bwanaFeminist katika ubora wako.
Unafanya kazi ya kuja na ID mpya tu...
Accept and let heal takes place
Mimi Siyo Veve Mkuu
Mbona mimi hukuniambia jamani Mtoto mzuri?Acha kutaka kubadilisha mada unajifanya ndiyo unajua leo kuhusu mswala ya id wakati id nimebadili muda mrefu sana watu wengi wanajua na mimi ndiyo niliyewaambia na juzi juzi tu tulikuwa tunabishana mimi na wewe kwenye mada fulani nikiwa na hii hii id halafu leo unajifanya haujui hebu usigeuze mada bwana
Hiyo veve ni lugha ya kibantu, nililitumia makusudically nikijua tu utanikosoa lakini uko powa Mamii wa ukweli?
Mbona mimi hukuniambia jamani Mtoto mzuri?
Nakushauri ondoka hapo nyumbani hadi huyo bint atakapomaliza mitihani na kurudi kwao wewe ndio urudiYeye ndio kawa Kama mwenye nyumba yan Mimi nifate anavyotaka akifanya kitu usiniulize ...ukimwachia hela ya matumiz usimuulize chenji ananuna hajibu nami nashinda kazin
Pesa mkabidhi Dada wa kaziYeye ndio kawa Kama mwenye nyumba yan Mimi nifate anavyotaka akifanya kitu usiniulize ...ukimwachia hela ya matumiz usimuulize chenji ananuna hajibu nami nashinda kazin
Vipi kwani?
Mimi ni chanzo cha wewe kuumbwa, au hujui kuwa ukitokea ubavuni kwangu Mamii?Kwani wewe ni nani kwangu?